secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 23,984
- 51,055
Hata mimi mkuu. Sasa nitaanza kuimba kwaya ili nimpate demu mkali kwayani.Nimeamua khbadili dini na kuwa mkristo. Hakika Yesu ni Mungu na wayahudi ni wateule wake. Siwezi tena kutamani uarabu.
Eli Cohen secretarybird Monetary doctor 100 others Beira Boy min -me
adriz de mbusii
Nikimuoa nitasilimu kwa mara nyingine tena.