Shule Ipi bora Secondary kwa Maisha ya sasa Boarding au Day?

Shule Ipi bora Secondary kwa Maisha ya sasa Boarding au Day?

Kaunara

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2013
Posts
249
Reaction score
452
Habari,

Samahami nimejikuta katika wakati Mgumu sana baada ya mwanangu kumaliza darasa la saba mwaka huu 2024.

Tumekuwa tukivutana na mke wangu sana. Mtoto kapata shule nyingi za boarding namaanisha private. Katika shule hizi kuna boarding mchanganyiko na boarding ya single. Namaanisha Jinsia moja. Mtoto wangu ni wa kike ana umri wa miaka 12.

Sasa mama mtu anasema aende boarding mchanganyiko na mimi nataka aende boarding ya jinsia moja namaanisha girls tu.

Naombeni msaada wenu hapa ni ipi shule nimpeleke mchanganyiko au jinsia moja. Toa na sababu. Asante.

images (13).jpeg
images (12).jpeg
images (11).jpeg
images (10).jpeg
 
Peleka unapomudu ada. Iwe mchanganyiko au jinsia moja.

Watu wanapenda kusema shule za jinsia moja zinachochea ushoga/usagaji lakini si kweli. Hayo mambo yapo kila mahali hadi kwenye shule za mchanganyiko.

Unachotakiwa ni kumuelimisha mwanao juu ya kuuheshimu mwili wake.
 
Naona unajisahaulisha mchecheto wa foolishage, umri huo anajua hata maana ya kuuheshimu mwili wake??

Ampeleke mchanganyiko asituongezee tomboy mtaani
 
Back
Top Bottom