Shule Ipi bora Secondary kwa Maisha ya sasa Boarding au Day?

Naona unajisahaulisha mchecheto wa foolishage, umri huo anajua hata maana ya kuuheshimu mwili wake??

Ampeleke mchanganyiko asituongezee tomboy mtaani
nimesoma single sex na sijaharibika

kwanza mwanao akiwa shoga/msagaji utajua tu hata kabla hajaenda shule

mashoga wote niliowafahamu walianza utotoni
 
Kwa uzoefu wangu wa kusoma boys tupu toka form 1 mpaka form 6, ningekushauri:

Kwanza, mpeleke shule ya kutwa.

Sababu: mwanao anaingia adolescence. Anahitaji muongozo wa kiafya, kihisia na kijamii sasa kuliko wakati wowote. Boarding ataupata toka kwa watoto wenzie, nyumbani atupata toka kwenu wazazi wake. So, kupanga ni kuchagua.

Pili, Mpeleke shule ya mchanganyiko.

Sababu: Shule za jinsi moja ni scam. Maisha halisi hayapo hivyo. Wengi waliosoma huko kwa muda mrefu tuna struggle kuwaelewa wenzetu wa upande wa pili huku ukubwani, kwa vile ule muda wa kuwaelewa tuliukosa.
Kuna mambo ya hovyo tuliaminishana mabwenini na unconsciously yanasumbua mpaka sasa.
So, aende mixture huyo.
 
Nakushauri mpeleke shule ya jeshi iwe la polisi au jwtz akimaliza hapo anaweza hata kuingia jeshini kwa urahisi anakuwa ana connection, kwenye shule za jeshi mtoto anakuwa salama zaidi masaa yote yupo na askari hakuna unyanyasaji wala ushoga, mtoto akitoka hapo anakuwa amefundishwa adabu, utii, ukakamavu na mengine kibao
 
Kama ile ipo na sio tatizo mpeleke st Marian au feza kuna shule ya mbeya ya ma sister inafaulisha sana nimesau jina
 
Ampeleke boarding za wasichana tu za kanisa katoliki zinafaulisha sana kitaifa waweza kuta shule nzima division one

Mtoto wa kike kwa umri huo hatakiwi kusoma shule ya mchanganyiko
 
Kwa uzoefu wangu wa kusoma boys tupu toka form 1 mpaka form 6, ningekushauri:

Kwanza, mpeleke shule ya kutwa.

Sababu: mwanao anaingia adolescence. Anahitaji muongozo wa kiafya, kihisia na kijamii sasa kuliko wakati wowote. Boarding ataupata toka kwa watoto wenzie, nyumbani atupata toka kwenu wazazi wake. So, kupanga ni kuchagua.

Pili, Mpeleke shule ya mchanganyiko.

Sababu: Shule za jinsi moja ni scam. Maisha halisi hayapo hivyo. Wengi waliosoma huko kwa muda mrefu tuna struggle kuwaelewa wenzetu wa upande wa pili huku ukubwani, kwa vile ule muda wa kuwaelewa tuliukosa.
Kuna mambo ya hovyo tuliaminishana mabwenini na unconsciously yanasumbua mpaka sasa.
So, aende mixture huyo.
Asante umechambua vizuri sana.
 
Ampeleke boarding za wasichana tu za kanisa katoliki zinafaulisha sana kitaifa waweza kuta shule nzima division one

Mtoto wa kike kwa umri huo hatakiwi kusoma shule ya mchanganyiko
Thanks
 
Back
Top Bottom