Habari za wakati kama huu wanajamvi!!!
Kama inavyosomeka hapo juu hayo ni majibu ya kijana mmoja kutoka kilimanjaro ambae ana umri wa miaka 14 akifanya kaz ya kuuza duka moja hapa jijini Dar.
Jioni moja nikiwa najirudisha zangu nyumbani kutoka kwa rafiki yangu mmoja hapa jijini nkasema niingie dukani hapo nipate Saba juu baridi ndipo nakutana n dogo mnoja wa miak 14 jina tumwite Bonge. Maana n mfupi lakini pia ni mnene akiwa anevalia shirt la mikono mifupi kama la shule. Nami kwa bashasha namwambia naomba saba juu baridi. Ananipatia.
Chapu namuuliza unasoma wap kwa lole sgat na kaptura aliyoivaa ni kama mtu anaemsaidia mzazi wake pengine kuuza duka maana aliinekana kuwepo na mzee mmoja wa makamo kama baba yake kumbe ni tajiri. Moja kwa moja anaruka na kunijibu mimi sisomi hapa nipo kazini mimi nashangaa kidogo kwa nini namuuliza anasema yeye shule sio mpango ake yeye ni biashara.
Sasa mimi namuuliza zaidi kwa nini ananiambia kwa sababu ameona watu wamesom sana na hawana ajira mimi namjibu sasa umeishia darasa la ngapi ananjib la saba na alifanya mtihani wa seminari moja huko Kilimanjaro na akafaulu lakin hakutaka kwenda.
Bro sikia nikwambie Bonge sasa ananieleza mimi napenda kufanya kile kitu nachopenda kwanza mimi mtundu sana nikiwa moshi niliwahi kutoroka na kupotea nyumbani miezi miwili nikienda Arusha kutafuta maisha nmebeba sana tofali na saidia fundi. Mimi namshangaa na ubonge huu uliweza kubeba kweli anasema huu umekuja tu hapa kwa sababu ninashinda dukani na sofanyi kazi kama zile ngumu. Pia kwetu wote tuna asili ya unene so ni hivo bro.
Mimi natamani kutak kujua zaidi ikawaje sasa uliporudi nyumbani ananijibu nliporudi nlimuungia mama 10 la sukari akanielewa nkaend malizia shule bas nkakaa home. Sasa nkafanya mtihani wa seminari lakini ninaposubiri majibu yake na ya shule nikawa najiuliza mbona shule sio mpango wangu ndipo naamua kuwaambia wazazi mimi sitak shule wanauliza kwa nini nawajibu sio mpango wangu. Wasongeweza kukataa maana wanajua mtundu kwa hiyo ningeweza hata watoroka ikabidi wao wenyewe wanitaftie na kazi ya kuuza duka huku dar.
Bas nlifika mwaka jana january nkaenda duka la kujifunzia aisee nlipata madharau wananiona mdogo ila nkakazana mimi nkijua malengo yangu. Nikakaa mwezi mmoja nikaamia hapa hivyo hapa nina mwaka sasa na mpango wangu nikae miaka mingine 2 bas niwe na frem yangu. Nkashangaa kidogo mawazo yake yenye hesabu kali bas nkasema sawa sasa kwa nini usingesoma mpk hata form 4 ili upate walau hata maneno kidogo ya kiingereza ili hata ukija kupata fursa ya kuzama nchi nyingine unaenda.
Majibu yake yaliniacha hoi maana alisema bro mimi kiingereza kujifunza nkitak ni wiki tu hakuna mahali naweza shindwa ishi ilimradi tu kuna watu na wanaishi nitajipa muda kidogo tu kama mwezi ntakua nishawapata n kuishi nao vizuri tu. Nlishangaa nkasema aya bhana sasa mshahara wako wafanyia nini kwa sasa majibu bado noma inaendelea nkipata namtumia maza kiasi kdg ili aendeleze home na kingine naweka ili kutimiza mawazo yangu hapo badae.
Ilibid nmalize soda na kuondoka nkijiuliza maswali mengi yenye changamoto baada ya kupewa challenge na bonge.🤔🤔🤐