Hao wazazi wao wakipewa khanga msimu huu kwisha habari yao. Hawajali wana watoto wanaosoma mazingira magumu au mbali. Wengi tunapiga kelele humu, kwa watu kama hao wanaoishi maisha duni si ya kibinadamu kuishi.
Anasa zote zinazofanya Serikali, kuanzia magari, kuongeza mikoa, wilaya ili tu watu wao wagombee ubunge na kupata ukuu wa wilaya.
Kuwa na mawaziri na makatibu wakuu wawili waili kwenye Wizara moja.
Tukija Bungeni mishahara mikubwa, fedha zinazobaki kwenye bajeti za mawizara n.k hizi zote zingetosha kutatua kero za shule, walimu, vifaa vya maabara, mabweni. Ila nani aliyeshiba amkumbuke mwenye njaa yuko sijui sitimbi huko.
Tukiongea hapa wanachojua kurudisha matusi. Sasa kila mtu atakula anapopelekaga mboga.