Shule nyingi za private zinaajiri waalimu kutoka kenya kama taifa tunafeli wapi.

Shule nyingi za private zinaajiri waalimu kutoka kenya kama taifa tunafeli wapi.

Expensive life

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2020
Posts
2,971
Reaction score
9,437
Ndugu zangu licha ya utititiri wa waalimu wengi kuhutimu vyuo mbalimbali lakini wengi wao wapo tu mitaani wapiga miayo, huku shule nyingi za private zikienda nje ya nchi kusaka waalimu.

Mzazi ukienda kutafuta shule kwa ajili ya mwanao basi sifa utakazopewa kuhusu shule husika basi utaambiwa hapa tuna waalimu wazoefu kutoka kenya, uganda etc.

Watanzani mnafeli wapi? Mmerundikana mitaani wenzenu wanatoka huko wanakuja kubeba ajira zenu.
 
Back
Top Bottom