Shule nzuri kwa mchepuo wa PCB ni zipi?

Shule nzuri kwa mchepuo wa PCB ni zipi?

shalet

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2013
Posts
3,430
Reaction score
3,547
Habari nina mdogo wangu amefanya vizuri matokeo yake ya form iv yaliyotoka mwaka huu nilipenda akasome pcb ili aje asome udaktari, naombeni kujua shule zipi za private ni nzuri kwa mchepuo huo ili afanikishe marengo yake.

Ahsanteni sana.
 
Du, kweli Feza boys lakini ada yake ni shida, kama mleta mada ataimudu ada panafaa, niliskia ni kama milion 4 kwa mwaka vile
 
thanks kwa michango yenu.
 
Du, kweli Feza boys lakini ada yake ni shida, kama mleta mada ataimudu ada panafaa, niliskia ni kama milion 4 kwa mwaka vile

Mkuu ulisikia vibaya aisee kwa sasa ni 4,500,000/ kwa day na 7,750,000/ kwa boarding hiyo ni kwa O level na A level halafu admission pekee ni 750,000/ non refundable itoe kwenye ada for new comers.
 
Mkuu ulisikia vibaya aisee kwa sasa ni 4,500,000/ kwa day na 7,750,000/ kwa boarding hiyo ni kwa O level na A level halafu admission pekee ni 750,000/ non refundable itoe kwenye ada for new comers.

Mwingine atalipia 70,000/= na huyo atalipia 7,750,00/=, wote mnakuja kukutana muhas!
 
Kwann upende ww akasome PCB?umemuuliza yeye mwenyewe anapenda combination gani?
 
Kama amefaulu vizuri Biology, phy na chem bila kusahau pass ya math kuna shida gani kumpeleka PCB?
 
Mimi naona hakuna shida ila Angelia ufaulu wake na interest. PCB inahitaji commitment asikuambie mtu
 
Mwingine atalipia 70,000/= na huyo atalipia 7,750,00/=, wote mnakuja kukutana muhas!

Ndo hivyo mkuu kila mbuzi anakula kulingana na urefu wa kamba ama kutokana na matakwa ya mfugaji.

Tatizo pesa tu,products za Feza lazima tu ni tofauti na hizo za Shimo la Udongo Sec maana pale hawakaririshani na hawajui tuition za kwenye vibanda umiza kwa Mr.Masembele/ Mr. Masenema sijui Mr. Sololo pale class rooms ni full kipupwe.

Na wengi wao Chuo hupiga nje.
 
PCB ni comb nzuri si udaktari tu, pia aweza somea pharmacy, medical laboratory, vet medicine, Bsc. Environment mgt, physitherapy, biotechnology, forestry and many arts degree
Hata kama dogo interest yake ni KLF wewe ni kaka lazima umshauri ipasavyo ... Akomae nayo tu PCB inasomeka ...
Shule za ada ya kawaida na performance nzuri; Loyola, Shaaban Robert, Tusiime, St. Anthony, St. Matthews, Alpha just to mention a few..
 
alipenda kusoma egm lakini changamoto ya ajira nikamshauri asome pcb kwa ajili ya udaktari then nimtafutie shule nzuri ya private upendodaima, mazigazi
 
Last edited by a moderator:
Kwann upende ww akasome PCB?umemuuliza yeye mwenyewe anapenda combination gani?

mkuu upendo daima kwa changamoto ya ajira iliyopo si vizuri kumuacha dogo aamue mwenyewe anaweza danganywa huko badae tukapata shida namna ya kumsaidia kumbe uwezo wa kusoma pcb tunaona anao
 
Marian schools (boys and girls)
feza schools
kifungiro
marry goreti
 
Back
Top Bottom