Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Du, kweli Feza boys lakini ada yake ni shida, kama mleta mada ataimudu ada panafaa, niliskia ni kama milion 4 kwa mwaka vile
Mkuu ulisikia vibaya aisee kwa sasa ni 4,500,000/ kwa day na 7,750,000/ kwa boarding hiyo ni kwa O level na A level halafu admission pekee ni 750,000/ non refundable itoe kwenye ada for new comers.
Mwingine atalipia 70,000/= na huyo atalipia 7,750,00/=, wote mnakuja kukutana muhas!
Kama amefaulu vizuri Biology, phy na chem bila kusahau pass ya math kuna shida gani kumpeleka PCB?
Kwann upende ww akasome PCB?umemuuliza yeye mwenyewe anapenda combination gani?
Mwingine atalipia 70,000/= na huyo atalipia 7,750,00/=, wote mnakuja kukutana muhas!
Hahahah, chezea tabora boys, kibaha, ilboru, mzumbe weye????