Shule nzuri ya form V

Shule nzuri ya form V

Kimbakuli

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2013
Posts
408
Reaction score
435
Habari Gani Mataalam.

Aisee kina bwana mdogo wangu amefaulu anataka kwenda FormV. Kwa sababu hapa ni nyumbani kwa wajuzi naomba mnisaidie shule nzuri ya formV kwa kuzingatia haya.

1. Mchepuo wa sayansi
2. Iwe mchanganyiko(Girls&Boys)
3. Ada iwe around 2M-3M

Thanks
 
Civics-A
History-A
Geography-A
Kiswahili-B
English-A
Physics-B
Chemistry-A
Biology-A
Mathematics-A
Huo ndio ufaulu wake
 
Civics-A
History-A
Geography-A
Kiswahili-B
English-A
Physics-B
Chemistry-A
Biology-A
Mathematics-A
Huo ndio ufaulu wake
Ache aende shule za sarikali kwa A level shule za serikali ni nzuri kuliko private hususani sayansi.
 
Ungefosi aende ilboru, tabora boys au hata mzumbe kama ni mbishi kwenye maisha it means hana pigo za kudeka deka nakwambia atatoboa kwenda chuo kikuu akitakacho kuliko kump3leka huko private advance n msuli mzee sio mambo ya o level huko tena kombi za science ndo kabisa.
 
Back
Top Bottom