shule popote

Hawa ndio viongozi wa kesho. Huyo aliyegeukia wenzake wa "dawati" la nyuma anaonekana kufikiria desertation ya kutoka nayo asije kuishia doctorate za kupewa. Anaona hizo calculus na matrix za ubaoni zinampotezea muda.
 
Mkuu m-note vizuri aliyegeuka. Huyu inaonekana hana time na teacher na teacher hana time nae. Ni kama vile wana deal la kufaulishana hata wasiposoma. Na akijakuwa kiongoziatakuwa kama prezo wako, kujigeuzia mitaani kusaka kibaba akijua atapewa za bure huku watu wakipiga buku
 
Kwa mtindo huu degree na PhD za heshima kwa heri. Naona ticha anataka kumwaribia Kinerugaba Msemakweli kwa dili lake la kukamata degree na phD Feki za waheshimiwa!
 
"The comfort of the rich depends upon an abundant supply of the poor."
-
Voltaire<?xml:namespace prefix = o ns = "urn:schemas-microsoft-com😱ffice😱ffice" /><o😛></o😛>
 
Hii nimeipenda. Kondoa nini???? maana niliwahi kukuta wazee elimu ya watu wazima chini ya bonge la mbuyu. Au itakuwa Singida

Nafikiri hapo ni sehemu za Shinyanga kwenye mibuyu ya namna hiyo!!!!

Tiba
 
Hawa ndio viongozi wa kesho. Huyo aliyegeukia wenzake wa "dawati" la nyuma anaonekana kufikiria desertation ya kutoka nayo asije kuishia doctorate za kupewa. Anaona hizo calculus na matrix za ubaoni zinampotezea muda.

mamaa weeee desertetion???hahaaa nimecheka sana mimi
 
Wazazi are to be blamed for this and not Kasi Zaidi, Ari Zaidi, Nguvu Zaidi
 
dogo anawaza kwenda kupiga boli tu anaona calculus zinamchanganya tu maana anaona bora awe kama Lampard kama degree atapewaga tu na mavyuo ya kibongo
 
nahisi kama wagomba kimaandishi yako vile???? umekasirika kwani niliposema hivyo mimi,,,???!!!

unamhushisha mungu kwenye mambo yasiyomhusu...serikali kushindwa kujenga madarasa na kuweka mazingira mazuri kwa watoto wa kijijini kusoma vinamuhusu nini mungu??hayo ni matumizi mabaya ya jina la mungu na kweli nakugombeza sio kimaandihi tu hata kiimani pia...Wanangu wataangamia kwa kukosa maarifa ndo hayo sasa unayoyaandika wewe...
 
Mwaka 2011 watakuwa na laptop wote!!!!

ahaaa nimeikumbuka hii JK alitoa ahdi hii wakati anazindua tawi la CRDB pale marangu mtoni..kuwa 2011 watoto wote watakuwa wanatumia laptop tena macbook Air
 
shukran khaly,,,mi siyajui mambo ya hukotz my dear,,niliombea tu allah awe pamoja na hao watoto malaika wasijua linalofanyika kama hiv mie,,,sasa we baada kunijulisha au kunifafanulia wanigombesha with nothing,,,lakin shukran na nisameh kama nilikuudhi kwa dua yangu hua sipendi kumudhi mtu nak,uomba unisamehe,,
 
Almost 50yrs of independence under CHAMA CHA WACHAKACHUAJI...watoto wao Ulayaaaaaaaaaaaa....Kudadeki.
 
Almost 50yrs of independence under CHAMA CHA WACHAKACHUAJI...watoto wao Ulayaaaaaaaaaaaa....Kudadeki.

Kweli mkuu shangingi moja tu lingetosha kuwapa hawa watoto comfort ya darasa-lakini vipaumbele vyetu wanavijua wao wenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…