Mtu wa Pwani
JF-Expert Member
- Dec 26, 2006
- 4,191
- 677
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawa ndio viongozi wa kesho. Huyo aliyegeukia wenzake wa "dawati" la nyuma anaonekana kufikiria desertation ya kutoka nayo asije kuishia doctorate za kupewa. Anaona hizo calculus na matrix za ubaoni zinampotezea muda.
Hii nimeipenda. Kondoa nini???? maana niliwahi kukuta wazee elimu ya watu wazima chini ya bonge la mbuyu. Au itakuwa Singida
Hawa ndio viongozi wa kesho. Huyo aliyegeukia wenzake wa "dawati" la nyuma anaonekana kufikiria desertation ya kutoka nayo asije kuishia doctorate za kupewa. Anaona hizo calculus na matrix za ubaoni zinampotezea muda.
may allah help them ya rabb!!!!!! too sad,,,,
sasa allah ana play part ipi hapo..uwizi wa kura na kujitwalia madaraka ndo kunafikisha nchi hapo..
nahisi kama wagomba kimaandishi yako vile???? umekasirika kwani niliposema hivyo mimi,,,???!!!
Mwaka 2011 watakuwa na laptop wote!!!!
unamhushisha mungu kwenye mambo yasiyomhusu...serikali kushindwa kujenga madarasa na kuweka mazingira mazuri kwa watoto wa kijijini kusoma vinamuhusu nini mungu??hayo ni matumizi mabaya ya jina la mungu na kweli nakugombeza sio kimaandihi tu hata kiimani pia...Wanangu wataangamia kwa kukosa maarifa ndo hayo sasa unayoyaandika wewe...
Almost 50yrs of independence under CHAMA CHA WACHAKACHUAJI...watoto wao Ulayaaaaaaaaaaaa....Kudadeki.