KERO Shule ya Academic Mikocheni Njia ya Clouds inasababisha Foleni, Utaratibu mbovu wa kupokea magari

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Hii shule ipo njia ya Cocacola -Clouds, karibu kabisa na Bushoke Chips, hapa bhana asubuhi wazazi wanaleta watoto wao shule, basi hakuna parking, magari yanajaa barabarani na inasababisha foleni na usumbufu sana kwa watumiaji wa barabara hiyo.

Tunaomba uongozi wa shule uwajibike kuwa na mpango utakaoondoa adha hii, Either watafute school bus itakayokusanya watoto au kuwa na namna nzuri ya kupokea magari mengi bila kusababisha usumbufu kwa watumiaji wa barabara hiyo

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…