Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
India kuna chuo wanatoa aerospace eng.Ndugu zangu habari za leo!
Mwanangu anapenda kusoma Aircraft Eng, ningependa kupata msaada kama kuna wadau wanaweza kunipa input yeyote kuhusu vyuo vya canada ili niweze kujiandaa na kufikia lengo lake.
Nasubiri msaada wenu!
Shukrani, sijafahamu nitavipaje maana najaribu ku google nagonga mwamba!Zipo nyingi mkuu, kikubwa kuwa na vigezo, anaweza pata hadi scholarship
Yaani we acha tuuuUnapiga hiyo kozi..ukirudi bongo hakuna ajira..inauma sana.
#MaendeleoHayanaChamaY