DOKEZO Shule ya Atlas school inatesa waajiriwa wake kwa kutowalipa mishahara

DOKEZO Shule ya Atlas school inatesa waajiriwa wake kwa kutowalipa mishahara

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'

Copro mtego

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2022
Posts
619
Reaction score
796
Hii ni shule ya mtu binafsi ina matawi mawili Madale na Ubungo.

Mmiliki wa shule hizi anatumikisha vijana bila kuwalipa anawalisha tu chakula cha wanafunzi na kuwatunza kama wanafunzi ila hawapati posho zao kama wanavyoahidiwa mwanzo.

Mtu ameanza kazi miezi mitano bila kulipwa ukidai anakujibu si unakula? Basi imeisha hiyo

Huyu mmiliki ana asili ya Kagera wilaya ya muleba ambapo anawaajiri watu kutoka muleba akiwadanganya anawasaidia kuwaajiri lakini mwisho hawapati chochote Hadi uamue kuacha mwenyewe.

Soma Pia: Walimu wa shule ya Ivumwe High School Mbeya inayomilikiwa na CCM, wafanya mgomo kudai mishahara yao

Screenshot_20240821-200813.jpg

Kibaya zaidi kaweka ndugu zake kwenye uongozi na usimamizi wa pesa na hao ndo wanalipwa tu

Hao wanaotetea maslahi ya vijana,wafanyakazi, na wizara ya ajira sijui wana mpango gan na uhuni huu unaofanyika na mabosi wa shule binafsi
 
Back
Top Bottom