Travis_Kitengo
JF-Expert Member
- May 19, 2021
- 329
- 919
Ndio utanzania wenyewe huo, unashindwa kwenda kuchukua mtoto wako unakuja kupiga kelele mitandaoni, wanadhani kuna mtu ataacha shughuli zake aende kutafuta shule iko mbozi awaulize kwa nini mnafundisha watoto mpaka saa nneWaTanzania bhana ni kama mazezeta vile....tunachojua ni kulalamika tu hata mahali ambapo unatakiwa kuchukua hatua........
Mimi binafsi siwezi kukubali mwanangu umuweke shule mpaka saa nne usiku...... kuhusu hilo sihitaji kuja kulalamika mitandaoni..... especially shule ya kulipia....
Mtoto wa darasa la nne ana masomo gani ya kumuweka shule mpaka muda huo
Ndio kuna watu wanalipwa kodi zetu kutatua kero kama hizi.Ndio utanzania wenyewe huo, unashindwa kwenda kuchukua mtoto wako unakuja kupiga kelele mitandaoni, wanadhani kuna mtu ataacha shughuli zake aende kutafuta shule iko mbozi awaulize kwa nini mnafundisha watoto mpaka saa nne
Hata mimi najiuliza kwa nini wazazi wanakubali huo ujinga, labda kuna namna wanabanwa na shule hiyoWaTanzania bhana ni kama mazezeta vile....tunachojua ni kulalamika tu hata mahali ambapo unatakiwa kuchukua hatua........
Mimi binafsi siwezi kukubali mwanangu umuweke shule mpaka saa nne usiku...... kuhusu hilo sihitaji kuja kulalamika mitandaoni..... especially shule ya kulipia....
Mtoto wa darasa la nne ana masomo gani ya kumuweka shule mpaka muda huo
Mkuu pigia mstari hapo. Sisi ni mazezetaWaTanzania bhana ni kama mazezeta vile....tunachojua ni kulalamika tu hata mahali ambapo unatakiwa kuchukua hatua........
Mimi binafsi siwezi kukubali mwanangu umuweke shule mpaka saa nne usiku...... kuhusu hilo sihitaji kuja kulalamika mitandaoni..... especially shule ya kulipia....
Mtoto wa darasa la nne ana masomo gani ya kumuweka shule mpaka muda huo
Ahaa , sasa endelea kulalamika huko vijiweni na kuanzisha post mitandao yote ukisubiri wataenda kukutatulia hiyo keroNdio kuna watu wanalipwa kodi zetu kutatua kero kama hizi.