KERO Shule ya Kata (Bujinga) iliyopo Tukuyu tunatozwa sh.60,000/=kila mwezi

KERO Shule ya Kata (Bujinga) iliyopo Tukuyu tunatozwa sh.60,000/=kila mwezi

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
nenda ofisi ya ccm iliyo karibu yako kakutane na kiongozi wa ccm asiejua kusoma na kuandika akupe maelezo kwa undani kuhusu elimu bure, nyie ccm wanatuchezea.
 
Ujitambui kabisa wewe na wazazi wenzio, mnawekewa kambi kwa kuwa mitoto yenu vichwa vigumu na wakikaa mtaani hawasomi ni kubeti na kulima vibarua ila mnataka muone matokeo mazuri.
Mchango sio lazima acha kuchangia uone kama mwanao atafukuzwa au atapigwa bakora, wewe kama uoni umuhimu wa kugharamia elimu ya mwanao acha wanaoweza wafanye hivyo mwanao nae akiwa na akili kama za baba yake huo ukoo utabaki maskini milele
Ingekuwa idea unayotoa ndio msimamo wa shule ingekuwa powa
Mtoa mada amesema shule inalazimisha na kuwaadhibu wanafunzi
Wanaodai matokeo mazuri Ni serikali na sio wazazi!
Wazazi wanaodai matokeo Bora wanapambana na wanao kwa gharama zozote

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Eti kumchangia mwanao mwenyewe elfu 60 tu akae shule asome vizuri ambayo ni buku 2 kwa siku haitoshi hata Gb 1 unalalamika..
Huo ni umaskini+upumbafu wa kuwango cha juu kabisa
 
Acha ujinga wako!
Haijawahi kutokea wazazi woote kukubaliana!
Watu Wana idea kuwa wengi wakiamua wape, wakati si sahihi
Suala la gharama za shule ni za binafsi sio maamuzi ya kikao
Wanapaswa kujua kuwa masuala ya kambi si lazima,
Kikao kiwe kwa ajili ya kushawishi wazazi ili wanaoweza gharama wajiunge na kambi
Ila Cha ajabu kikao kinaitwa ili kupitisha ajenda ya kambi na michango
Then wengi wakisema sawa, Basi hata wachache wasioafiki wanasukumizwa kwa nguvu
Na ujinga mwingine Ni kwa Nini wanafunzi waadhibiwe kwa kukosa kutoa mchango ambao Ni wajibu wa wazazi?

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Usichangie acha wanaotaka wachangie hakuna mtu atakupeleka jela au mtoto wako kufukuzwa shule. Usitoe hata kumi kugharamia elimu ya mwanao kwa kuwa elimu ni bure, usikubali kupelekeshwa 😂😂
 
Ingekuwa idea unayotoa ndio msimamo wa shule ingekuwa powa
Mtoa mada amesema shule inalazimisha na kuwaadhibu wanafunzi
Wanaodai matokeo mazuri Ni serikali na sio wazazi!
Wazazi wanaodai matokeo Bora wanapambana na wanao kwa gharama zozote

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Wazazi wanaotaka matokeo bora wanatoa mamilion kusomesha watoto wao. Huyu anaelia sababu ya elfu 60 ni kilaza na familia nzima itakuwa ya vilaza.
 
Halafu viongozi kama Mbowe wakirithisha watoto wao nafasi za uongozi mnalalamika huku nyie mkikwepa kupambana watoto wapate elimu bora.
 
Ombeni Michele uliotiwa virutubisho, mafuta ya alizeti yaliyotiwa virutubisho na maharage kutoka Marekani ili msichangie chochote kile.
 
Kama kikao kilipitisha hiyo tayari ni sheria lazima utoke ,kama hutaki hamisha mtoto wako mpeleke ukukwe
 
Kusoma mie naamini sio ghaama ingekuwa ivyo Basi kila wenye pesa wangekuwa maprofesa.
Bali naamini mie elimu Ni Ile Ari,shauku,hamu ya kutaka kujifunza ama kujielimisha, Pili Ni uwezo wa yule anayejifunza.
I trust self taught education than formal education.
Yaani mtu akipenda shule anaweza akawa anajificha anajisomea,hata mbalamwezi usiku anasoma Ila Sasa mpaka upeleke anakosukumwa Kama punda sio POA na kumezeshwa unadhani ndio elimu.
Ungekuwa mwalimu na ukakutana na generation hii ya sasa hayo unayo yasema ungemsikia mtu anayesema ungemnasa kofi japo moja

Sent from my ZTE T1002 using JamiiForums mobile app
 
Eti kumchangia mwanao mwenyewe elfu 60 tu akae shule asome vizuri ambayo ni buku 2 kwa siku haitoshi hata Gb 1 unalalamika..
Huo ni umaskini+upumbafu wa kuwango cha juu kabisa
Wakiambiwa wamchangie Samia kuchukua form hao wako front.
 
Ilibidi uende kwenye kikao ili ukitajiwa gharama hizo ukatae maana hakuna mchango unaolipwa shuleni bila makubaliano tena na unaambiwa kabisa hii inaenda huku hii huku kama mlikubaliana watoto wale nyama tutajuaje?
 
Back
Top Bottom