KERO Shule ya Kata (Bujinga) iliyopo Tukuyu tunatozwa sh.60,000/=kila mwezi

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
nenda ofisi ya ccm iliyo karibu yako kakutane na kiongozi wa ccm asiejua kusoma na kuandika akupe maelezo kwa undani kuhusu elimu bure, nyie ccm wanatuchezea.
 
Kataa usimpeleke mwanao kambi usitoe hela......rahisi tu
 
Ingekuwa idea unayotoa ndio msimamo wa shule ingekuwa powa
Mtoa mada amesema shule inalazimisha na kuwaadhibu wanafunzi
Wanaodai matokeo mazuri Ni serikali na sio wazazi!
Wazazi wanaodai matokeo Bora wanapambana na wanao kwa gharama zozote

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Eti kumchangia mwanao mwenyewe elfu 60 tu akae shule asome vizuri ambayo ni buku 2 kwa siku haitoshi hata Gb 1 unalalamika..
Huo ni umaskini+upumbafu wa kuwango cha juu kabisa
 
Usichangie acha wanaotaka wachangie hakuna mtu atakupeleka jela au mtoto wako kufukuzwa shule. Usitoe hata kumi kugharamia elimu ya mwanao kwa kuwa elimu ni bure, usikubali kupelekeshwa 😂😂
 
Wazazi wanaotaka matokeo bora wanatoa mamilion kusomesha watoto wao. Huyu anaelia sababu ya elfu 60 ni kilaza na familia nzima itakuwa ya vilaza.
 
Halafu viongozi kama Mbowe wakirithisha watoto wao nafasi za uongozi mnalalamika huku nyie mkikwepa kupambana watoto wapate elimu bora.
 
Ombeni Michele uliotiwa virutubisho, mafuta ya alizeti yaliyotiwa virutubisho na maharage kutoka Marekani ili msichangie chochote kile.
 
Kama kikao kilipitisha hiyo tayari ni sheria lazima utoke ,kama hutaki hamisha mtoto wako mpeleke ukukwe
 
Ungekuwa mwalimu na ukakutana na generation hii ya sasa hayo unayo yasema ungemsikia mtu anayesema ungemnasa kofi japo moja

Sent from my ZTE T1002 using JamiiForums mobile app
 
Eti kumchangia mwanao mwenyewe elfu 60 tu akae shule asome vizuri ambayo ni buku 2 kwa siku haitoshi hata Gb 1 unalalamika..
Huo ni umaskini+upumbafu wa kuwango cha juu kabisa
Wakiambiwa wamchangie Samia kuchukua form hao wako front.
 
Ilibidi uende kwenye kikao ili ukitajiwa gharama hizo ukatae maana hakuna mchango unaolipwa shuleni bila makubaliano tena na unaambiwa kabisa hii inaenda huku hii huku kama mlikubaliana watoto wale nyama tutajuaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…