Mkushi Mbishi
JF-Expert Member
- Sep 30, 2018
- 332
- 549
Wakuu Nina wadogo zangu watatu,nimejikaza niishi nao na niwasomeshe kwa kila hali ingawa sina kitu.lakini shule ya msingi waliyopo wazazi tuliambiwa waalimu ni wachache(sikuwepo kikaoni)
Hivyo ikapangwa kila mwezi,kila mzazi alipie Tsh 1000 wameletwa waalimu ambao tuliambiwa hawajaajiriwa wawe wanalipwa kufidia pengo la uchache wa Waalimu(nahisi ni wale waliotumbuliwaga wanalindana)
Sasa mm nikifikiria nahisi Kama hii kaz ya kuwalipa ni kaz ya serikali sio sisi,ingawa siku zote nalipa ila miez hii miwili nimegoma maana hakuna risiti ya malipo tunayipewa ,Cha ajabu wanachapwa na kulazimishwa kulipa,hela ya kulipa ninayo lakini nahisi Kama wanaonewa haswa Leo baada ya kunieleza ijumaa walipigwa mboko za kutosha,Nina hasira sana
Sasa nataka kujua hii ni halali?tuendelee ama Kama si halali nianzie wapi?
Maana huwa sipendi rushwa wala uonevu kwa watoto wanaotafutiwa elimu.