Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Taarifa haijakamilika vizuri, weka details za kutosha i.e hiyo shule iko wilaya na mkoa gani, je hayo matukioa yamewahi kuripotiwa mahali popote au ni hisia tu, na je hao walimu wanakimbia kwa kuacha kazi au wanapata uhamisho halali, toka uijue ilikuwa na walimu wangap mpka sasa amebaki mmoja, nk nk
taarifa haijakamilika vizuri, weka details za kutosha i.e hiyo shule iko wilaya na mkoa gani, je hayo matukioa yamewahi kuripotiwa mahali popote au ni hisia tu, na je hao walimu wanakimbia kwa kuacha kazi au wanapata uhamisho halali, toka uijue ilikuwa na walimu wangap mpka sasa amebaki mmoja, nk nk
Jamani shule hii inaitwa NFUNZI imejengwa na wakorea ni shule nzuri na ya kisasa imejengwa katika eneo la less previlleged area eneo la uvuvi katika rasi ya nfunzi katika kata ya NYAKASASA ,kijiji cha nyakasasa kisiwa cha kome,tarafa ya buchosa wilaya ya sengerema kwa mbunge wake ni mheshimiwa TIZEBA NAIBU WAZIRI. kiukweli nimefika na nimeonana na waalimu na viongozi baadhi wa kata na kijiji, kiukweli ni aibu sana,kwani walimu wengi wameomba kuondoka,na wameondoka kurudi sengerema na wengine kamanga karibu kabisa na jijini mza,waalimu wanatokea kilimanjaro,mkoa wa mara,tabora nk jamani hakuna siasa hapo, mambo ni ushirikina,mambo waliyofanyiwa ni aibu kuyaandika hapa kwa sisi watu wasitaarabu,kama unaweza nitafute nikwambie kwa kirefu, kinachohitajika ni kufanya kama serikali ilivyofanya,ondoa walimu wote na fanya kama uchawi unavyotaka.
KISIWA cha kome mara zote kimekuwa na imani mbaya na za kweli, uchawi uchawi uchawi nadhani wanasitahili, napanga kupeleka injili kwa ajili ya kumpokea yesu na kufanya uamsho wa bwana wa sabato.
ombea sana kisiwa hiki wakombolewe zaidi ya hapo ni hatari tupu.
Huyo mwalimu mkuu asije kuwa ndo alikuwa anawachapa wenzie, yeye Kwa nini hachapwi? Na kama Ana njia mbadala Kwa nini asiwakinge na wenzie? Kupeleka elimu maeneo yenye imani za kishirikina Ni MAJANGA tu.Star TV wameonyesha ktk habari leo jumapili sa 10:15, amebaki mwalimu mkuu peke yake anafundisha wanafunzi 300
, nfunzi sengerema,mwalimu Justine Kitwale amekomaa hajakimbia kazi,afundisha peke yake,majengo mapya,yana rangi nzuri ya brocken white,vioo vya Aluminium kama vya mahotelini, walimu wamekimbia uchawi etc.
hapo sasa unaweza kuamini kwani kwa mazingira hayo usingetegemea walimu kukimbia kazi,
Taarifa haijakamilika vizuri, weka details za kutosha i.e hiyo shule iko wilaya na mkoa gani, je hayo matukioa yamewahi kuripotiwa mahali popote au ni hisia tu, na je hao walimu wanakimbia kwa kuacha kazi au wanapata uhamisho halali, toka uijue ilikuwa na walimu wangap mpka sasa amebaki mmoja, nk nk
Jamani shule hii inaitwa NFUNZI imejengwa na wakorea ni shule nzuri na ya kisasa imejengwa katika eneo la less previlleged area eneo la uvuvi katika rasi ya nfunzi katika kata ya NYAKASASA ,kijiji cha nyakasasa kisiwa cha kome,tarafa ya buchosa wilaya ya sengerema kwa mbunge wake ni mheshimiwa TIZEBA NAIBU WAZIRI. kiukweli nimefika na nimeonana na waalimu na viongozi baadhi wa kata na kijiji, kiukweli ni aibu sana,kwani walimu wengi wameomba kuondoka,na wameondoka kurudi sengerema na wengine kamanga karibu kabisa na jijini mza,waalimu wanatokea kilimanjaro,mkoa wa mara,tabora nk jamani hakuna siasa hapo, mambo ni ushirikina,mambo waliyofanyiwa ni aibu kuyaandika hapa kwa sisi watu wasitaarabu,kama unaweza nitafute nikwambie kwa kirefu, kinachohitajika ni kufanya kama serikali ilivyofanya,ondoa walimu wote na fanya kama uchawi unavyotaka.
KISIWA cha kome mara zote kimekuwa na imani mbaya na za kweli, uchawi uchawi uchawi nadhani wanasitahili, napanga kupeleka injili kwa ajili ya kumpokea yesu na kufanya uamsho wa bwana wa sabato.
ombea sana kisiwa hiki wakombolewe zaidi ya hapo ni hatari tupu.
Sengerema, ukerewe, magu, Misungwi, Geita ni maeneo ambayo yanasifika kwa kuwa na small scale witchcraft, au retailed witchcraft. Mimi naishi Geita, suala la kusikia fisi amekwapua mtoto na kutokomea nae ni kawaida, suala la mtu kufa akazikwa kisha akaonekana kitaa anatembea ni kawaida kabisa. Kuna mtoto alikuwa anasoma kidato cha tatu shule ya sekondari Nyarugusu iliyopo Geita vijijini, alipotea kwa muda wa siku tatu, alipo rejea akasimulia kwamba alikuwa amechukuliwa na wachawi mmoja wao akiwa mama jirani yao. Akapelekwa ikulu ya wachawi, akawa anashinikizwa kula nyama za watu akakataa, pia amewataja wafu wote wanaoishi kijijini na katani hapo kuwa baadhi aliwaona kule ikulu wakiwa hai ila misukule. Kwa sasa huyo binti yupo japo akili yake haiko njema anatibiwa kwa witch doctor ili kumrudisha akili. Aliwashinda na akatoroka kutoka ikulu ya wachawi(GAMBOSHI).
Hii taarifa hii nimeiskia leo redioni kisa walimu wanalimishwa usiku na kuchapwa mibakora ya haja usiku wameamua kubwaga manyangaa! Mmmh huko nakoenda sijui kukoje si ndo ntafwanywa farasi miye daah mayo nene!! !!
Huko Gamboshi, nilikufahamu kutokana na hadithi za Shigongo, kumbe bado mambo yanaendelea na nilidhani Shigongo anadanganya.
Poleni.
Huyo mwalimu mkuu asije kuwa ndo alikuwa anawachapa wenzie, yeye Kwa nini hachapwi? Na kama Ana njia mbadala Kwa nini asiwakinge na wenzie? Kupeleka elimu maeneo yenye imani za kishirikina Ni MAJANGA tu.