Kama kwenye udahili hakuna chembe za rushwa hiyo good.
Pia je, huoni kuwa unatengeneza madaraja katika jamii Moja?
Inakuwaje watoto wengine wapate elimu moja yenye kumudu ushindani na wengine wapate elimu ambayo haimudu ushindani?
Rai yangu ni kwamba serikali isikwepe wajibu wa kutoa elimu bora kwa watoto wote
Inamazingira mazuri kwa sababu inatumia lugha nzuri kufundishia lugha ya kiingereza.video inaonesha na kueleza vizuri shule ya msingi mikongeni, ambayo ni public primary school yaani english medium inayomilikiwa na serikali.
shule ni nzuri kwa miundombinu yote.
hata hizi shule private schools tunazowapeleka watoto wetu wa kisasa kina juniour na kulipishwa ada milioni mbili ama milioni tatu kwa mwaka hazifikii ubora wa miundombinu iliyopo kwenye public school ya mikongeni primary school
ushauri wangu shule zenye ubora kama huu ama standard kama hii zinapaswa kujengwa kwenye kila kata ili watoto wote waenjoy kodi za wazazi wao kwa kusoma shule nzuri za serikali
View attachment 2939117
Mishahara ya walimu ikoje?
Shida huwa hapa pia
KYELA NAYO PIA IPO.KWNN SERIKALI INAJENGA MADARAJA KWA WATU WAKE.KWNN SERIKALI IRUHUSU UBAGUZI
Olympio iko posta? Mara kumi ungesema Bunge iko posta ila sio olympioKuna ile olympio primary school ipo posta nasikia nayo nzuri, inamilikiwa na serikali pia
Olympio iko posta? Mara kumi ungesema Bunge iko posta ila sio olympio
Mkuu siku hizi na wewe unageuka chawa? Sioni la kutoa hongera hapa. Shule zetu zote zilitakiwa ziwe zaidi ya hii. Hili siyo jambo la kuipongeza seriali hata kidogo. Na kwa bahati mbaya sana hili suala la ''kuishukuru serikali'' au ''kumshukuru rais'' imekuwa kama ndiyo sala ya watanzania wengi sasa hivi. Huyo mwalimu maneno ''tunaishukuru serikali'' sijui amerudia mara ngapi kwenye hayo maelezo yake.Hongera Serikali, Shule zote zinatakiwa kuwa hivi, tuipe Elimu umuhimu wa kwanza kabla ya V8 za viongozi.
Ahsante kwa marekebisho mkuuOlympio iko posta? Mara kumi ungesema Bunge iko posta ila sio olympio
Hahah ni kweli, culture yetu Tz imetushape kitofauti. Ndio maana hata tukienda kununua kitu dukani tunaanza na neno “naomba”.Mkuu siku hizi na wewe unageuka chawa? Sioni la kutoa hongera hapa. Shule zetu zote zilitakiwa ziwe zaidi ya hii. Hili siyo jambo la kuipongeza seriali hata kidogo. Na kwa bahati mbaya sana hili suala la ''kuishukuru serikali'' au ''kumshukuru rais'' imekuwa kama ndiyo sala ya watanzania wengi sasa hivi. Huyo mwalimu maneno ''tunaishukuru serikali'' sijui amerudia mara ngapi kwenye hayo maelezo yake.