KERO Shule ya Msingi Namahonga – Tandahimba, Wanafunzi wanakaa chini, mvua ikinyesha madarasa yanavuja

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
20260410_135445.jpg
Miundombinu ya Shule ya Msingi Namahonga iliyopo Kijiji cha Namahonga, Kata ya Maundo, Wilaya ya Tandahimba Mkoani Mtwara ni mbaya kiasi kwamba wakati wa mvua baadhi ya Wanafunzi wanapewa ruhusa ya kubaki nyumbani.
20260410_135449.jpg

20260410_135750.jpg

20260410_135609.jpg
Wanafunzi wanasoma wakiwa wamekaa chini, hawana madawati, mara kadhaa tumeshawahi kuripoti kuhusu maboresho ya miundombinu lakini haikufanyiwa kazi.

Tunaona viongozi wanakuja wanaondoka, sometimes kuna Waandishi wa Habari nao wanakuja wanarekodi wakiondoka kimyaa hatuoni kinachoendelea.

Tujulishwe nini kinaendelea au imeshindikana Watoto wetu na Walimu kuwekewa mazingira mazuri? Madarasa mengi yamechoka sana kutokana na uchakavu.
 
NCHI hii Ina laana.
 
Tupo bize na goli la mama na ujinga mwingine! LIPA KODI KWA MAENDELEO YA TAIFA.
 
Miundombinu ya Shule ya Msingi Namahonga iliyopo Kijiji cha Namahonga, Kata ya Maundo, Wilaya ya Tandahimba Mkoani Mtwara ni mbaya kiasi kwamba wakati wa mvua baadhi ya Wanafunzi wanapewa ruhusa ya kubaki nyumbani.
Wanafunzi wanasoma wakiwa wamekaa chini, hawana madawati, mara kadhaa tumeshawahi kuripoti kuhusu maboresho ya miundombinu lakini haikufanyiwa kazi.

Tunaona viongozi wanakuja wanaondoka, sometimes kuna Waandishi wa Habari nao wanakuja wanarekodi wakiondoka kimyaa hatuoni kinachoendelea.

Tujulishwe nini kinaendelea au imeshindikana Watoto wetu na Walimu kuwekewa mazingira mazuri? Madarasa mengi yamechoka sana kutokana na uchakavu.
Lucas Mwashambwa atakuambia hizo ni picha za AI ,acha kuleta taaruki! Hili jamaa ni jinga kabisaa.
 
Hakuna mtoto ataipenda ama atafurahia shule, kwa madarasa chakavu na majengo ya hovyo namna hii aiseee
 
Usome mazingira kama hayo uje utoboe kimungu mungu, Uje kua afisa serikalini utakua mzarendo kwa sysytem ambayo haijawai kukujali kwa chochote?
 
Back
Top Bottom