A
NCHI hii Ina laana.Miundombinu ya Shule ya Msingi Namahonga iliyopo Kijiji cha Namahonga, Kata ya Maundo, Wilaya ya Tandahimba Mkoani Mtwara ni mbaya kiasi kwamba wakati wa mvua baadhi ya Wanafunzi wanapewa ruhusa ya kubaki nyumbani.
Wanafunzi wanasoma wakiwa wamekaa chini, hawana madawati, mara kadhaa tumeshawahi kuripoti kuhusu maboresho ya miundombinu lakini haikufanyiwa kazi.
Tunaona viongozi wanakuja wanaondoka, sometimes kuna Waandishi wa Habari nao wanakuja wanarekodi wakiondoka kimyaa hatuoni kinachoendelea.
Tujulishwe nini kinaendelea au imeshindikana Watoto wetu na Walimu kuwekewa mazingira mazuri? Madarasa mengi yamechoka sana kutokana na uchakavu.
Tupo bize na goli la mama na ujinga mwingine! LIPA KODI KWA MAENDELEO YA TAIFA.Miundombinu ya Shule ya Msingi Namahonga iliyopo Kijiji cha Namahonga, Kata ya Maundo, Wilaya ya Tandahimba Mkoani Mtwara ni mbaya kiasi kwamba wakati wa mvua baadhi ya Wanafunzi wanapewa ruhusa ya kubaki nyumbani.
Wanafunzi wanasoma wakiwa wamekaa chini, hawana madawati, mara kadhaa tumeshawahi kuripoti kuhusu maboresho ya miundombinu lakini haikufanyiwa kazi.
Tunaona viongozi wanakuja wanaondoka, sometimes kuna Waandishi wa Habari nao wanakuja wanarekodi wakiondoka kimyaa hatuoni kinachoendelea.
Tujulishwe nini kinaendelea au imeshindikana Watoto wetu na Walimu kuwekewa mazingira mazuri? Madarasa mengi yamechoka sana kutokana na uchakavu.
Lucas Mwashambwa atakuambia hizo ni picha za AI ,acha kuleta taaruki! Hili jamaa ni jinga kabisaa.Miundombinu ya Shule ya Msingi Namahonga iliyopo Kijiji cha Namahonga, Kata ya Maundo, Wilaya ya Tandahimba Mkoani Mtwara ni mbaya kiasi kwamba wakati wa mvua baadhi ya Wanafunzi wanapewa ruhusa ya kubaki nyumbani.
Wanafunzi wanasoma wakiwa wamekaa chini, hawana madawati, mara kadhaa tumeshawahi kuripoti kuhusu maboresho ya miundombinu lakini haikufanyiwa kazi.
Tunaona viongozi wanakuja wanaondoka, sometimes kuna Waandishi wa Habari nao wanakuja wanarekodi wakiondoka kimyaa hatuoni kinachoendelea.
Tujulishwe nini kinaendelea au imeshindikana Watoto wetu na Walimu kuwekewa mazingira mazuri? Madarasa mengi yamechoka sana kutokana na uchakavu.
Acheni uzushi wenu na kubandika vipicha vyenu hapaLucas Mwashambwa atakuambia hizo ni picha za AI ,acha kuleta taaruki! Hili jamaa ni jinga kabisaa.
wenzio wamekudharau ndiomaana hupewi teuzi yoyote.Acheni uzushi wenu na kubandika vipicha vyenu hapa
Obviously jibu ni HAPANA , zaidi ya kuwa Fisadi tu.Usome mazingira kama hayo uje utoboe kimungu mungu, Uje kua afisa serikalini utakua mzarendo kwa sysytem ambayo haijawai kukujali kwa chochote?