BigTall
JF-Expert Member
- Mar 9, 2022
- 525
- 1,257
Wazee nendeni Shule ya Msingi Tumaini, ipo Kata ya Kimanga, Dar es Salaam kila siku kila Mwanafunzi wa Darasa la Saba anatakiwa atoe mchango Tsh. 800 na kwa siku ya Alhamisi wanachangishwa Tsh. 2,000 ya mtihani.
Pia soma:
Kibaya zaidi ni kuwa wanafunzi ambao hawapati nafasi ya kuchanga wanatakiwa kukaa nje ya madarasa waendelee kusoma wenyewe au wacheze, hawawaruhusu kutoka nje ya shule kwa kuwa wanajua wakienda huko wanaweza kupata nafasi ya kusoma au kufundishwa na waalimu wengine wa mtaani.
Kinachoendelea hiki Serikali inatakiwa kuangalia kwa jicho la tatu maana haiwezekani kila siku watu tunalia na michango ambayo haina kichwa wala miguu na mamlaka zipo kimya.
Soma: Waziri wa Elimu, Prof. Mkenda apiga marufuku Shule kuzuia Wanafunzi ambao hawajalipa fedha za michango
Pia soma:
- Malalamiko yaendelea kuhusu malipo ya 'Mchango wa Uendeshaji wa Shule Tsh 65,000' licha ya Serikali kufuta ada
- DOKEZO - √ - Wanafunzi wa kidato cha tano kukataliwa kisa hawajamaliza michango ni usumbufu kwa wanaotoka mbali
- DOKEZO - √ - Wazazi wa wanafunzi Shule ya Sekondari BUJUNANGOMA, tumechoka na Michango, Rushwa, Utumikishwaji wa watoto wetu shuleni
- DOKEZO - √ - Wanafunzi wa darasa la 7 shule ya Msingi Chanika wazuiliwa kuingia darasani kutokana na kutochangia 500 ya masomo