Shule ya Secondari Kawe Ukwamani mwanafunzi amesimamishwa masomo kwa kuharibu jiko

Mzee makoti

JF-Expert Member
Joined
Jul 27, 2016
Posts
5,385
Reaction score
8,354
Wakuu habari!

Nina mjukuu wangu anasoma shule ya secondary KAWE UKWAMANI yupo form 4. Juzi wameandikiwa barua kuwa wanafunzi mia wameharibu jiko la kupikia lenye thamani ya milioni nne kwahiyo wamewasimamisha shule tokea Jumatatu watoto hawaendi shule, bibi yake alienda wanasema kuwa tuliwatoa nje wanafunzi wa form 4 wapumzike wakati wenzao wanafanya mitihani, kwahiyo wakati huo eti ndio waliharibu jiko,

Jiko lenyewe cha ajabu linakaa nje, kwamba mtu au mwanafunzi yoyote anaweza akafanya huo uharibifu, ila imegundulika ni mbinu ya wao kuweza kupata pesa za mwisho mwisho toka kwa wanafunzi wa FORM 4, sasa fikiria kijana hajaenda shule tokea Jumatatu.

Kwa kweli hii ni kero hizi shule zetu za umma! hata kama ni mbinu za kupiga pesa hii ni too much, wanatengeneza chuki ya wananchi kwa serikali.
 
Jiridhishe kama hilo tukio wamefanya kweli. Ikiwa wamefanya kweli wanastahili kulipa lakini kwa utaratibu wa kiserikali na mpewe na risiti. Hakuna uhalali wa kuaribu Mali za shule kwa sababu yeyote ile. Lakini ikiwa wameonewa na si kweli basi liwasilishe kwa Afisa Elimu litashughulikiwa haraka.
 
Wazazi kama wewe ndio kinaharibu taifa la Sasa,
Mnasabanisha watoto wanakuwa mashoga.

Kwahiyo umeamua kuchagua upande wa kutetea maovu.
Kama kosa limefanyika hatua zichukuliwe hakuna kutetea ujinga.

Yaani watoto wafanye uharibifu unaambiwa ulipe unatengeneza chuki? Huo ni ujinga kwa kweli.

Bila hatua kama hizo Mali za umma zote zitaharibiwa
 
Shida yako ni ipi hapa !?
Kwanini wao ndo waambiwe ndiyo form four ya kwanza au darasa la kwanza kuwa nje!? Jiko kuwa nje siyo kigezo kwanini liharibike wao wakiwa nje!?

Tuliza hasira shirikiana na walimu mwanao asome! Ana kosa wajibika, tena kwa furaha
 
we ni mpiga dili kama hao walimu au wewe pia ni mwalimu wa iyo shule,tambueni wazazi hatuna pesa,na kingine watoto wengine wazazi wao walishakufa wanalelewa na babu zao,nyie kila siku michango isiyoisha wapumbavu nyie,mnatengeneza mazingira tu yakupata fedha wapuuzi sana nyie.
 
Wazazi kama wewe ndio kinaharibu taifa la Sasa,
Mnasabanisha watoto wanakuwa mashoga.

Kwahiyo umeamua kuchagua upande wa kutetea maovu.
Kama kosa limefanyika hatua zichukuliwe hakuna kutetea ujinga.

Yaani watoto wafanye uharibifu unaambiwa ulipe unatengeneza chuki? Huo ni ujinga kwa kweli.

Bila hatua kama hizo Mali za umma zote zitaharibiwa
Mwanao kama ni shoga niwewe! pambana nae mwalimu
 
we ni mpiga dili kama hao walimu au wewe pia ni mwalimu wa iyo shule,tambueni wazazi hatuna pesa,na kingine watoto wengine wazazi wao walishakufa wanalelewa na babu zao,nyie kila siku michango isiyoisha wapumbavu nyie,mnatengeneza mazingira tu yakupata fedha wapuuzi sana nyie.
Haijalishi Wala haitoi ubalali wa kuharibu mali ya umma.
Yaelekea malezi yako kwa huyo mtoto ni changamoto na awezakusa ameshiriki!
 
Jiridhishe kama hilo tukio wamefanya kweli. Ikiwa wamefanya kweli wanastahili kulipa lakini kwa utaratibu wa kiserikali na mpewe na risiti. Hakuna uhalali wa kuaribu Mali za shule kwa sababu yeyote ile. Lakini ikiwa wameonewa na si kweli basi liwasilishe kwa Afisa Elimu litashughulikiwa haraka.
hapana ni mipango yao tu yakupiga pesa,kwanza tunalazimwa elfu tano tano za walimu wa kujitolea kila mwezi,walimu wenyewe wakujitolea wapo wanne,wanafunzi karibia mia tano,piga hesabu elfu Tano mara idadi iyo.....michango ya hovyo kila kukicha,wanatusumbua tu wastaafu na njaa zetu
 
we ni mpiga dili kama hao walimu au wewe pia ni mwalimu wa iyo shule,tambueni wazazi hatuna pesa,na kingine watoto wengine wazazi wao walishakufa wanalelewa na babu zao,nyie kila siku michango isiyoisha wapumbavu nyie,mnatengeneza mazingira tu yakupata fedha wapuuzi sana nyie.
Punguza mayusi na makadiriko, shirikiana na walimu. Ninayo uhakika huyo mtoto unayemlea akifaulu atapata pts 23 + kama malezi ndo ww
 
Haijalishi Wala haitoi ubalali wa kuharibu mali ya umma.
Yaelekea malezi yako kwa huyo mtoto ni changamoto na awezakusa ameshiriki!
Wewe pia ni mwalimu lazima utetee upuuzi wenu! Mshaona watoto wanakaribia kumaliza masomo mnataka kupiga pesa ya mwisho mwisho.mnatengeneza chuki kwa serikali kwa tamaa zenu
 
hapana ni mipango yao tu yakupiga pesa,kwanza tunalazimwa elfu tano tano za walimu wa kujitolea kila mwezi,walimu wenyewe wakujitolea wapo wanne,wanafunzi karibia mia tano,piga hesabu elfu Tano mara idadi iyo.....michango ya hovyo kila kukicha,wanatusumbua tu wastaafu na njaa zetu
Mzee michango yote ktk shule za hupitishwa na wazazi kama mliafiki changeni ?
Una uhakika gani kuwa hawajabaribu?
 
hapana ni mipango yao tu yakupiga pesa,kwanza tunalazimwa elfu tano tano za walimu wa kujitolea kila mwezi,walimu wenyewe wakujitolea wapo wanne,wanafunzi karibia mia tano,piga hesabu elfu Tano mara idadi iyo.....michango ya hovyo kila kukicha,wanatusumbua tu wastaafu na njaa zetu
Mbona kama una chuki binafsi.
UDILIPE BASI
 
Nyinyi si hamtaki watoto wenu waguswe wakifanya maujinga shuleni,lipeni jiko la shule acha vosingizio.
 
we ni mpiga dili kama hao walimu au wewe pia ni mwalimu wa iyo shule,tambueni wazazi hatuna pesa,na kingine watoto wengine wazazi wao walishakufa wanalelewa na babu zao,nyie kila siku michango isiyoisha wapumbavu nyie,mnatengeneza mazingira tu yakupata fedha wapuuzi sana nyie.
Hiyo haitoi uhalali wa kufanya uharibifu wa mali za uma lipa jiko la shule.
 
Back
Top Bottom