Shule ya Secondari Kawe Ukwamani mwanafunzi amesimamishwa masomo kwa kuharibu jiko

Shule ya Secondari Kawe Ukwamani mwanafunzi amesimamishwa masomo kwa kuharibu jiko

hapana ni mipango yao tu yakupiga pesa,kwanza tunalazimwa elfu tano tano za walimu wa kujitolea kila mwezi,walimu wenyewe wakujitolea wapo wanne,wanafunzi karibia mia tano,piga hesabu elfu Tano mara idadi iyo.....michango ya hovyo kila kukicha,wanatusumbua tu wastaafu na njaa zetu
Tuhuma hazishughulikiwi hivyo, mzee! Huwezi kuupata ukweli ukiwa katika hii hali ya kuwa umeshatoa hukumu. Hata mtu anayefahamika kuwa na tabia ya wizi akileta kesi kwamba ameibiwa ana haki ya kusikilizwa. Huwezi kutoa summary dismissal ya kesi yake kwasababu tu ya kile unachokifahamu kuhusu yeye.
 
Wakuu habari!

Nina mjukuu wangu anasoma shule ya secondary KAWE UKWAMANI yupo form 4. Juzi wameandikiwa barua kuwa wanafunzi mia wameharibu jiko la kupikia lenye thamani ya milioni nne kwahiyo wamewasimamisha shule tokea Jumatatu watoto hawaendi shule, bibi yake alienda wanasema kuwa tuliwatoa nje wanafunzi wa form 4 wapumzike wakati wenzao wanafanya mitihani, kwahiyo wakati huo eti ndio waliharibu jiko,

Jiko lenyewe cha ajabu linakaa nje, kwamba mtu au mwanafunzi yoyote anaweza akafanya huo uharibifu, ila imegundulika ni mbinu ya wao kuweza kupata pesa za mwisho mwisho toka kwa wanafunzi wa FORM 4, sasa fikiria kijana hajaenda shule tokea Jumatatu.

Kwa kweli hii ni kero hizi shule zetu za umma! hata kama ni mbinu za kupiga pesa hii ni too much, wanatengeneza chuki ya wananchi kwa serikali.
Wananchi waichukie serikali kwasababu ya uhuni wa hao wajinga? Hao ni wahuni wakalipe
 
we ni mpiga dili kama hao walimu au wewe pia ni mwalimu wa iyo shule,tambueni wazazi hatuna pesa,na kingine watoto wengine wazazi wao walishakufa wanalelewa na babu zao,nyie kila siku michango isiyoisha wapumbavu nyie,mnatengeneza mazingira tu yakupata fedha wapuuzi sana nyie.
Kutokuwa na uwezo siyo tiketi ya kuharibu mali za watu. Ndio maana mtoto wako yuko hivyo huna akili umemlea vibaya. Bado unatetea upumbavu bila aibu
 
Back
Top Bottom