Mzee makoti
JF-Expert Member
- Jul 27, 2016
- 5,385
- 8,354
Shida yako ni ipi hapa !?Wakuu habari!
Nina mjukuu wangu anasoma shule ya secondary KAWE UKWAMANI yupo form 4. Juzi wameandikiwa barua kuwa wanafunzi mia wameharibu jiko la kupikia lenye thamani ya milioni nne kwahiyo wamewasimamisha shule tokea Jumatatu watoto hawaendi shule, bibi yake alienda wanasema kuwa tuliwatoa nje wanafunzi wa form 4 wapumzike wakati wenzao wanafanya mitihani, kwahiyo wakati huo eti ndio waliharibu jiko,
Jiko lenyewe cha ajabu linakaa nje, kwamba mtu au mwanafunzi yoyote anaweza akafanya huo uharibifu, ila imegundulika ni mbinu ya wao kuweza kupata pesa za mwisho mwisho toka kwa wanafunzi wa FORM 4, sasa fikiria kijana hajaenda shule tokea Jumatatu.
Kwa kweli hii ni kero hizi shule zetu za umma! hata kama ni mbinu za kupiga pesa hii ni too much, wanatengeneza chuki ya wananchi kwa serikali.
we ni mpiga dili kama hao walimu au wewe pia ni mwalimu wa iyo shule,tambueni wazazi hatuna pesa,na kingine watoto wengine wazazi wao walishakufa wanalelewa na babu zao,nyie kila siku michango isiyoisha wapumbavu nyie,mnatengeneza mazingira tu yakupata fedha wapuuzi sana nyie.Shida yako ni ipi hapa !?
Kwanini wao ndo waambiwe ndiyo form four ya kwanza au darasa la kwanza kuwa nje!? Jiko kuwa nje siyo kigezo kwanini liharibike wao wakiwa nje!?
Tuliza hasira shirikiana na walimu mwanao asome! Ana kosa wajibika, tena kwa furaha
Mwanao kama ni shoga niwewe! pambana nae mwalimuWazazi kama wewe ndio kinaharibu taifa la Sasa,
Mnasabanisha watoto wanakuwa mashoga.
Kwahiyo umeamua kuchagua upande wa kutetea maovu.
Kama kosa limefanyika hatua zichukuliwe hakuna kutetea ujinga.
Yaani watoto wafanye uharibifu unaambiwa ulipe unatengeneza chuki? Huo ni ujinga kwa kweli.
Bila hatua kama hizo Mali za umma zote zitaharibiwa
Haijalishi Wala haitoi ubalali wa kuharibu mali ya umma.we ni mpiga dili kama hao walimu au wewe pia ni mwalimu wa iyo shule,tambueni wazazi hatuna pesa,na kingine watoto wengine wazazi wao walishakufa wanalelewa na babu zao,nyie kila siku michango isiyoisha wapumbavu nyie,mnatengeneza mazingira tu yakupata fedha wapuuzi sana nyie.
hapana ni mipango yao tu yakupiga pesa,kwanza tunalazimwa elfu tano tano za walimu wa kujitolea kila mwezi,walimu wenyewe wakujitolea wapo wanne,wanafunzi karibia mia tano,piga hesabu elfu Tano mara idadi iyo.....michango ya hovyo kila kukicha,wanatusumbua tu wastaafu na njaa zetuJiridhishe kama hilo tukio wamefanya kweli. Ikiwa wamefanya kweli wanastahili kulipa lakini kwa utaratibu wa kiserikali na mpewe na risiti. Hakuna uhalali wa kuaribu Mali za shule kwa sababu yeyote ile. Lakini ikiwa wameonewa na si kweli basi liwasilishe kwa Afisa Elimu litashughulikiwa haraka.
Punguza mayusi na makadiriko, shirikiana na walimu. Ninayo uhakika huyo mtoto unayemlea akifaulu atapata pts 23 + kama malezi ndo wwwe ni mpiga dili kama hao walimu au wewe pia ni mwalimu wa iyo shule,tambueni wazazi hatuna pesa,na kingine watoto wengine wazazi wao walishakufa wanalelewa na babu zao,nyie kila siku michango isiyoisha wapumbavu nyie,mnatengeneza mazingira tu yakupata fedha wapuuzi sana nyie.
Wewe pia ni mwalimu lazima utetee upuuzi wenu! Mshaona watoto wanakaribia kumaliza masomo mnataka kupiga pesa ya mwisho mwisho.mnatengeneza chuki kwa serikali kwa tamaa zenuHaijalishi Wala haitoi ubalali wa kuharibu mali ya umma.
Yaelekea malezi yako kwa huyo mtoto ni changamoto na awezakusa ameshiriki!
Mzee michango yote ktk shule za hupitishwa na wazazi kama mliafiki changeni ?hapana ni mipango yao tu yakupiga pesa,kwanza tunalazimwa elfu tano tano za walimu wa kujitolea kila mwezi,walimu wenyewe wakujitolea wapo wanne,wanafunzi karibia mia tano,piga hesabu elfu Tano mara idadi iyo.....michango ya hovyo kila kukicha,wanatusumbua tu wastaafu na njaa zetu
Kama mzazi ndiyo uko hivi ndio maana hata huyo mtoto hajitambui.Mwanao kama ni shoga niwewe! pambana nae mwalimu
Mbona kama una chuki binafsi.hapana ni mipango yao tu yakupiga pesa,kwanza tunalazimwa elfu tano tano za walimu wa kujitolea kila mwezi,walimu wenyewe wakujitolea wapo wanne,wanafunzi karibia mia tano,piga hesabu elfu Tano mara idadi iyo.....michango ya hovyo kila kukicha,wanatusumbua tu wastaafu na njaa zetu
Hiyo haitoi uhalali wa kufanya uharibifu wa mali za uma lipa jiko la shule.we ni mpiga dili kama hao walimu au wewe pia ni mwalimu wa iyo shule,tambueni wazazi hatuna pesa,na kingine watoto wengine wazazi wao walishakufa wanalelewa na babu zao,nyie kila siku michango isiyoisha wapumbavu nyie,mnatengeneza mazingira tu yakupata fedha wapuuzi sana nyie.