Shule ya Secondari Kawe Ukwamani mwanafunzi amesimamishwa masomo kwa kuharibu jiko

Tuhuma hazishughulikiwi hivyo, mzee! Huwezi kuupata ukweli ukiwa katika hii hali ya kuwa umeshatoa hukumu. Hata mtu anayefahamika kuwa na tabia ya wizi akileta kesi kwamba ameibiwa ana haki ya kusikilizwa. Huwezi kutoa summary dismissal ya kesi yake kwasababu tu ya kile unachokifahamu kuhusu yeye.
 
Wananchi waichukie serikali kwasababu ya uhuni wa hao wajinga? Hao ni wahuni wakalipe
 
Kutokuwa na uwezo siyo tiketi ya kuharibu mali za watu. Ndio maana mtoto wako yuko hivyo huna akili umemlea vibaya. Bado unatetea upumbavu bila aibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…