Shule ya Sekondari Lyamungo wana division one 213 matokeo ya kidato cha sita 2022

Chama la wana hilo na Ukorofi wote ila 1.3 haikosekani, napenda kutuma salamu kwa masela wa Lumumba, Agrey, nenda mpaka kule kijiweni, Kombo bila kusahau Takri..hahahaa

Kama unaikumbuka Lyamacha/lyamungo and machame njoo Pm plse unaweza kuta wewe ndio ulikua penpal wangu tukapotezana hahaa

Hongereni Wakali wa Lyamungo
 
One za siku hizi dah.... kila nyumba kuna one kweli..😃🙌
 
Ndo uko ulijifunzia mpira?
 
Na mzee manase mtaalamu wa Fongo.
 
Kimata, mzee mushi, Jembe,
 
Hivi mtera bado yupo Lyamungo?yule headmaster alikua ni kichekesho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…