Shule ya Sekondari Lyamungo wana division one 213 matokeo ya kidato cha sita 2022

Shule ya Sekondari Lyamungo wana division one 213 matokeo ya kidato cha sita 2022

Anatafutwa mwalimu mzuri atie huduma ya tuition kidato cha pili ya biology.physics, chemistry na hesabu kipindi mwanafunzi atakapokuwa likizo.

Mwalimu awe ni mbunifu, anayejali muda na anayejua kufundisha kwa urahisi.
 
Back
Top Bottom