KERO Shule ya sekondari Wailes Temeke inaongoza kwa viboko na michango

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

Showme

JF-Expert Member
Joined
Apr 27, 2014
Posts
1,257
Reaction score
505
Walimu wa sekondari wailes wanaongoza kwa kubuni michango shule ni tatizo ni nini? Mtoto asipoenda kusoma jumamosi anadaiwa tofali 5 mpaka 10 za sementi na hela aliyotakiwa kulipa jumamosi anailipa pia ingawa hakusoma, walimu wakujitolea wazazi ndio wanakiwa kuwalipa kwa mwezi 2000,

Kuna kusoma remedial kila siku sh 300 huku kila ijumaa unalipa 2000 ya mitihani, jamani michango mingi mpaka mingine naisahau hivi wanafikiri wazazi tunaokota hizo hela?? Tungekuwa matajiri tungepeleka watoto private school tumebaki huku bado tunakamuliwa.
 
Hiyo posho anayopokei mwisho wa mwezi Maskin weee ni kiduchu sana
 
Walimu wa sekondari wailes wanaongoza kwa kubuni michango shule ni tatizo ni nini? Mtoto asipoenda kusoma jumamosi anadaiwa tofali 5 mpaka 10 za sementi na hela aliyotakiwa kulipa jumamosi anailipa pia ingawa hakusoma, walimu wakujitolea wazazi ndio wanakiwa kuwalipa kwa mwezi 2000,

Kuna kusoma remedial kila siku sh 300 huku kila ijumaa unalipa 2000 ya mitihani, jamani michango mingi mpaka mingine naisahau hivi wanafikiri wazazi tunaokota hizo hela?? Tungekuwa matajiri tungepeleka watoto private school tumebaki huku bado tunakamuliwa.
Mtoto asipolipa anafukuzwa shule?
 
Waacheni wale kulingana na kamba yao ni fupi
waziweke wazi zilipwe kama ni kwa mwezi au mwaka kama wenzao wa private
Shida wanaaminisha watu elimu bure ila kutwa vimichango vya kijinga
 
Back
Top Bottom