Shule ya sekondari ya Suzhou yazindua programu ya majaribio ya ujumuishaji wa elimu na mchezo wa soka

ldleo

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2010
Posts
1,116
Reaction score
1,121


Shule moja ya sekondari ya Suzhou nchini China ikiwa ni shule ya majaribio ya ujumuishaji wa elimu na mchezo wa mpira wa miguu, imeiga vilabu vya kulipwa vya mchezo wa soka kujenga chumba cha kubadilishia nguo, chumba cha mazoezi na maonyesho ya utamaduni wa mpira wa miguu ili kuweka mazingira ya utamaduni wa mchezo wa soka.


 
Nasisi ipo siku tutayafikia hayo maendeleo, kwanza watuache tumalizane na matundu ya vyoo kwa kila shule.
 
Ngoja tuendelee kuomba msaada na kusifiana
Nalog off Z
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…