Shule ya Serikali kuagiza Kidato cha Tano wachangie fedha za wapishi na walinzi Tsh.30,000 - hii ndiyo elimu bure?

Shule ya Serikali kuagiza Kidato cha Tano wachangie fedha za wapishi na walinzi Tsh.30,000 - hii ndiyo elimu bure?

Crystal field theory

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2014
Posts
940
Reaction score
401
Wakuuu kwema

Hii ndio elimu bure?

Kwanini serikali isiajiri wapishi ikawalipa?

Inauma sana.

Screenshot_20220523-110011.png
 
Unamruhusu vipi mwanao kwenda kidato cha tano angali unajua ajira hakuna! Mpeleke college akasomee anachotaka! Au mfundishe biashara! Mpe mtaji! Kuliko awe na ndoto ya udaktari, asome PCB, akeshe darasani, mwisho wa siku akasomee bee keeping chuo, akose ajira akae mtaani, atupigie makelele!
 
Hiyo ni hera ndogo sana, so ulitaka na kula akale bure?
 
Bado na maji mtaita mma...

Acha kazi iendelee...inamaana kubwa...
 
Mimi nimeona neno "kalo"
Nilimwambia dogo kuliko uweke shule zipi za kwenda form5 wewe kwenye zile option4 tatu weka vyuo vya ufundii ya mwisho weka shule hautakuja kujutia maishani Ila naona aliniona mm zoba ngoja aje kuingia chuo ataamini kipi ni bora
 
Hata huko vyuoni Kuna baadhi ya vyuo wanachanga even though umechaguliwa na serikali! Elimu ni gharama..lazima tu tukubali kuigharamia
 
Usipende vya bure bure, hata hivyo hiyo sera ya elimu bure haihusishi kidato cha TANO.
 
Nilimwambia dogo kuliko uweke shule zipi za kwenda form5 wewe kwenye zile option4 tatu weka vyuo vya ufundii ya mwisho weka shule hautakuja kujutia maishani Ila naona aliniona mm zoba ngoja aje kuingia chuo ataamini kipi ni bora
Kwani uongo, wewe ni zoba kweli kweli.
 
Sera ya elimu ya mwaka 2014 ililenga elimu bure kwa Elimu Msingi tu yaani Awali mpaka Kidato cha nne. Unatuonesha nini hapa wewe? Yani hao mpaka hela ya mlinzi inatakiwa kutoka,
 
Back
Top Bottom