KERO Shule ya St. Marks, Dodoma, inakabiliwa na changamoto ya Kunguni

KERO Shule ya St. Marks, Dodoma, inakabiliwa na changamoto ya Kunguni

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

Terry07

New Member
Joined
Sep 19, 2026
Posts
1
Reaction score
1
Shule ya St. Marks, Dodoma, inakabiliwa na changamoto ya Kunguni katika mabweni, huku uongozi wa shule ukidaiwa kushindwa kuchukua hatua za kukabiliana na tatizo hilo.

Licha ya hali hiyo, wanafunzi wanaendelea kulazimishwa kuishi mabwenini bila hatua madhubuti za kufanya usafi na kuondoa wadudu hao.
 
Back
Top Bottom