Hahaha hao wapwani ndio wale wa Kenya?? THUBUUTUU!!!kiswahili na chuo kikuu cha Dar es Salam wapi na wapi...kiswahili ni cha wapwani bwana...we km ni m'bara hakikusu ndugu...(wajuwa) mbna si neno la kiswahili...uandishi tu ndio umeniponza...sasa na mi pia nikuulize...kw akili zako hzo unataka kunambia samani na thamani ni visawe....manake mi najaribu kuwafunza wanaopenda kulitumia hilo neno vibaya...we unakuja kupayuka payuka tu hapa km mjusi..
warukia mashaza matako wazi...utapasuka mkundu wewe
Unamfahamu Wallah bin Wallah?Umezaliwa lini wewe? Unazijua fasihi za mwandishi nguli Shaaban Robert? Kuna mkenya yoyote anaweza angalau kufikia robo ya ubingwa wake?? SAHAU!
Simfahamu! Ndio nani?Unamfahamu Wallah bin Wallah?
hehee...kw fasihi hamuwezi kabisa...kisha wacha unafiki..kwnza hyo uliyemtaja ni jamaa la 20s labda...manake waniuliza km nilikuwa nmezaliwa kwelSimfahamu! Ndio nani?
heheee...km si wa mwambao ni wa wapi...jamaa lina wivu...nadhan wewe somo la historia umeanguka...ka some kuhusu kiswahili kimekujaje..hapo ndipo utakuja elewa km pwani ya kenya inatambuliki...tatizo unaishi kwa shangaziHahaha hao wapwani ndio wale wa Kenya?? THUBUUTUU!!!
Kile Kiswahili cha pwani ya Kenya kilikuwa ni lahaja tu wala si chochote! Kiswahili sanifu na fasaha ni kile KILICHOSANIFIWA na wajerumani wakati wa ukoloni!heheee...km si wa mwambao ni wa wapi...jamaa lina wivu...nadhan wewe somo la historia umeanguka...ka some kuhusu kiswahili kimekujaje..hapo ndipo utakuja elewa km pwani ya kenya inatambuliki...tatizo unaishi kwa shangazi
Huyo mwanafasihi wenu kwa kilatini anaitwa "UNDER DOG". Hajulikani wala havuki boda. Anaishia kwenye hizo gatuzi/kaunti zenu chache! [endapo tu kama sijashawishika kuamini ni mtu ambaye hajawahi kupata kuishi kabisa].hehee...kw fasihi hamuwezi kabisa...kisha wacha unafiki..kwnza hyo uliyemtaja ni jamaa la 20s labda...manake waniuliza km nilikuwa nmezaliwa kwel
heheee!!!wakenya wananyakua awards za fasihi wewe bado umebaki na hekaya zako...tishio la wakenya ni wa zenji...lkn hakuna siku utakuta kitabu cha mtu kutoka tanganyika cha fasihi nje ya tanzania...bwahaaaa...ukweli mchungu nduguHuyo mwanafasihi wenu kwa kilatini anaitwa "UNDER DOG". Hajulikani wala havuki boda. Anaishia kwenye hizo gatuzi/kaunti zenu chache! [endapo tu kama sijashawishika kuamini ni mtu ambaye hajawahi kupata kuishi kabisa].
heheee...sidhani km kuna mtanganyika anaweza kaa meza moja na mtu km walah bin walah,ken waliboraUmezaliwa lini wewe? Unazijua fasihi za mwandishi nguli Shaaban Robert? Kuna mkenya yoyote anaweza angalau kufikia robo ya ubingwa wake?? SAHAU!
Hizo tuzo za fasihi ni zile za uchochoroni zisizo na mashiko! Mashindano ya fasihi yanafanyika miongoni mwa wakenya hao hao, na wanaoshinda ni wale wenye "UNAFUU" lakini si kwamba ni nguli! Kwa kukusaidia tu, tafuta kitabu cha fasihi kinaitwa 'ROZA MISTIKA" .... Utatamani kuzifuta hizo tuzo bandia za huyo mwanafasihi wenyu wa kubangaiza!heheee!!!wakenya wananyakua awards za fasihi wewe bado umebaki na hekaya zako...tishio la wakenya ni wa zenji...lkn hakuna siku utakuta kitabu cha mtu kutoka tanganyika cha fasihi nje ya tanzania...bwahaaaa...ukweli mchungu ndugu
Marehemu Ahmed Sheikh Nabhani je?Simfahamu! Ndio nani?
bwahaaaa....hv unakijua unakijua unachokiongea....wajua kwanza kiswahili kina baadhi ya maneno yamekopa kutoka kw wareno....wakati walipokita kambi mombasa..km vile meza,mvinyo...dogo hujui kitu...eti kilichosanifiwa na wajerumani...bwahaha...kumbe najadiliana na mtu ambaye hajui chochote kuhusu kiswahili....kwnza kabla ya kuitwa kilikuwa kikiitwa kingozi....kuna maeno kibao sai ya kingozi/yametelekezwa...kw sababu ya watu kujiona wameendelea...Kile Kiswahili cha pwani ya Kenya kilikuwa ni lahaja tu wala si chochote! Kiswahili sanifu na fasaha ni kile KILICHOSANIFIWA na wajerumani wakati wa ukoloni!
Kiswahili hicho fasaha ndicho kikakita kambi Tanzania kuanzia nyakati za harakati za uhuru na baada ya uhuru kuanzia mashuleni, serikalini, bungeni, na kwenye vyombo vya habari!
Wakati huo ninyi wakenya mkabaki mnababaika na makapi ya lahaja za hovyo hovyo za Kiswahili! Baadaye kidogo mkajivuruga zaidi na sheng' za ajabu ajabu hazieleweki ni Kiswahili au upupu!
Wacha ubishi, Nyang'au! Njoo nikufunze sarufi uone venye hujui lolote!
heheeeee...dogo kumbe hujui kitu wewe...eti tuzo za kenya...dogo hujui kitu wewe...huoni wenzako wamekutelekeza...mbna hujishtukizii...bwahaaHizo tuzo za fasihi ni zile za uchochoroni zisizo na mashiko! Mashindano ya fasihi yanafanyika miongoni mwa wakenya hao hao, na wanaoshinda ni wale wenye "UNAFUU" lakini si kwamba ni nguli! Kwa kukusaidia tu, tafuta kitabu cha fasihi kinaitwa 'ROZA MISTIKA" .... Utatamani kuzifuta hizo tuzo bandia za huyo mwanafasihi wenyu wa kubangaiza!
Dogo maana yake nini? Mimi nina umri sawa na baba yako!heheeeee...dogo kumbe hujui kitu wewe...eti tuzo za kenya...dogo hujui kitu wewe...huoni wenzako wamekutelekeza...mbna hujishtukizii...bwahaa
Nasemaje, uje Tanganyika nikufunze sarufi! Unataabika sana nashindwa kuelewa lugha unayoandika!bwahaaaa....hv unakijua unakijua unachokiongea....wajua kwanza kiswahili kina baadhi ya maneno yamekopa kutoka kw wareno....wakati walipokita kambi mombasa..km vile meza,mvinyo...dogo hujui kitu...eti kilichosanifiwa na wajerumani...bwahaha...kumbe najadiliana na mtu ambaye hajui chochote kuhusu kiswahili....kwnza kabla ya kuitwa kilikuwa kikiitwa kingozi....kuna maeno kibao sai ya kingozi/yametelekezwa...kw sababu ya watu kujiona wameendelea...
tanganyika mmefanya kukikopa hichi kiswahili...eti mlianza kukitumia kutoka wakati flani wakati watu wa pwani ya kenya walikuwa wanakiongea tayari...mijisifa tu ya kijinga
Roza mistika.. Ni roza au Rosa? Kitabu kitamu sana hiki.Nilikisoma nilipokuwa kidato cha kwanza Kimeandikwa na mtanganyika?Hizo tuzo za fasihi ni zile za uchochoroni zisizo na mashiko! Mashindano ya fasihi yanafanyika miongoni mwa wakenya hao hao, na wanaoshinda ni wale wenye "UNAFUU" lakini si kwamba ni nguli! Kwa kukusaidia tu, tafuta kitabu cha fasihi kinaitwa 'ROZA MISTIKA" .... Utatamani kuzifuta hizo tuzo bandia za huyo mwanafasihi wenyu wa kubangaiza!
hahaaaa...hta usisumbuke dogo...mambo ya kuandika insha ndefu lazima nitakosea herufi au pia hta maneno mengine kutoyaandika...hz simu tu ndugu yangu...siwezi poteza mda kuangalia km naaandika nn....ila kw ufupi...kiswahili watanganyika mmekopa tu...Nasemaje, uje Tanganyika nikufunze sarufi! Unataabika sana nashindwa kuelewa lugha unayoandika!
Rosa Mistika Kiliandikwa na Euphrase Kezilahabi, Alizaliwa Ukerewe islandRoza mistika.. Ni roza au Rosa? Kitabu kitamu sana hiki.Nilikisoma nilipokuwa kidato cha kwanza Kimeandikwa na mtanganyika?