Kile Kiswahili cha pwani ya Kenya kilikuwa ni lahaja tu wala si chochote! Kiswahili sanifu na fasaha ni kile KILICHOSANIFIWA na wajerumani wakati wa ukoloni!
Kiswahili hicho fasaha ndicho kikakita kambi Tanzania kuanzia nyakati za harakati za uhuru na baada ya uhuru kuanzia mashuleni, serikalini, bungeni, na kwenye vyombo vya habari!
Wakati huo ninyi wakenya mkabaki mnababaika na makapi ya lahaja za hovyo hovyo za Kiswahili! Baadaye kidogo mkajivuruga zaidi na sheng' za ajabu ajabu hazieleweki ni Kiswahili au upupu!
Wacha ubishi, Nyang'au! Njoo nikufunze sarufi uone venye hujui lolote!