Shule za Afrika Kusini kuanza kufunza Kiswahili baada ya kuingia makubaliano na Kenya

Pole kwa Ku.paGawa
 
funza sio kitenzi ...kitenzi ni fundisha na ukiendelea kunyambulisha unapata vitenzi kama fundishwa,fundishana,fundishia hauwezi kunyambulisha kitenzi funza
Hujielewi wewe. Umeanza kwa kusema funza si kitenzi tena mwishowe ukasema ni kitenzi. Confused element. πŸ˜•
As a noun, it can't be conjugated but it can be as a verb.Rudi darasa la 3 ukafundishwe kuhusu mnyambuliko wa vitenzi
 
k
kwani wakenya wanajua kiswahili? kiswahili kipo Tz pekee, hata Rwanda wenyewe wanaelewa hilo. labda wangeenda kufundisha kiingereza.
 
Kama mnataka kudanganya nendeni mbali sio maeneo haya ambayo kila mtu anajua wapi Kiswahili kinatumika ktk nyanja zote.

Akina Museveni, Kagame, Kabila, Munangagwa, Kaberuka, Garang and others wote walisoma na kuishi TZ, wanaelewa hilo vizuri tu.

Asilimia kubwa ya wanyaRwanda na Warundi walisoma Kiswahili ktk shule za TZ wakati wakiwa wakimbizi toka miaka ya 70.

Leo hii uwapelekee mwalimu wa Kiswahili toka nchi nyingine zaidi ya TZ, wanafunzi watakuwa wanamcheka darasani na badala yake watakua wanaangalia YouTube za akina Diamond na Harmo.

 

Hili nalisema kila siku, utaalam wa kufundisha lugha ni tofauti na kuizungumza mtaani, nyie mpo ovyoo sana kwenye uandishi wa Kiswahili.
 
Bantu, kuzungumza mnazungumza vizuri sana ila kuandika na nafikiri pia kufundisha mpo ZERO. Umeona vile wenzio wamedhihirisha kuwa mna elimu duni? Yaani mtu haelewi vitawe na mnyambuliko wa vitenzi. Ukiuliza mtoto wa kikenya maswali kama haya atakujibu vizuri sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…