Shule za Afrika Kusini kuanza kufunza Kiswahili baada ya kuingia makubaliano na Kenya

Data datani sio lugha rasmi mzee, kwenye kiswahili hayo maneno yanaitwa MISIMU huzuka na kutoweka.

Lakini nyinyi mmehalalisha kabisaa matumizi ya neno "COUNTY"
Nakufundisha kuanzia leo Neno "County" kiswahili chake ni "JIMBO"
Jina sahihi la 'county' ni gatuzi sio jimbo.
 
Jimbo-State
County-Gatuzi/Kaunti
 
Ki ukweli kabisa wakenya wapo vzuri kwenye kiswahili especially wale wanotoka ukanda wa pwani. Watz wengi wanashindwa kutofautisha R and L. dha wanatumia za na tha wanasema sa. Very sad. Unakuta mtu amemaliza mpaka chuo kikuu lakini still hawezo tofautisha hiyo
 
Kama ulivyo sema wakenya wa pwani wako vizuri ata hao wa Tz wenye tatizo la L na R ungetaja ukanda wanapo tokea. Ila kwakua lengo lako ni kupaka matope umeishia kusema wa Tz wote! Lengo lako likatimia bila shaka unajipongeza kwa kucheza mayeno
 
Hilo tatizo la L na R ni karibia asilimia 90 ya watz mkuu. Wewe angalia hata hapa JF. watu wanavyopost utaona. Na wakenya wabara mara nying huwa wanakosa misiati/maneno ya baadhi ya maneno ndio maana huwa wanaweka kiingereza wanapokosa msamiati wa neno flani. Ila mistakes za R na L au dhahabu mtu kusema zahabu au thamani mtu kusema samani. Hivyo vitu hawana. Mimi kama mimi ukiniwekea Mtz na mkenya kwenye kiswahili, I will definately pick a Kenyan. Sina unafki hapa naonge ukweli.
 
Jimbo-State
County-Gatuzi/Kaunti
😝😝😝😝 Kiswahili cha wapi hiki ndio maana nikasema Wakenya mnatuharibia Kiswahili sanifu mtuachie Kiswahili chetu.

Gatuzi ni kupeleka, kuhamisha, kuteremsha madaraka, mamlaka, kwa maana ya fedha, rasilmali watu, nyenzo, technologia n.k.

State sio jimbo "HEAD OF STATE" "Mkuu wa nchi"😛😛😛 Hakuna kiswahili cha Kaunti kwenye kamusi ya Kiswahili Sanifu haipo. (BAKITA) wenyewe hawajui Kinachotambulika ni hiki 👇

County= Jimbo. Mfano kwa kiingereza ukitaka kusema "Jimbo la Geita vijijini" hauwezi kusema "GEITA VILLAGE STATE" hiki sijui kitakuwa kiingereza cha wapi inatakiwa isemwe hivi "GEITA VILLAGE COUNTY"

Wakenya Kiswahili chetu mtuachie
 
Eti asilimia 90, wewe lena kweli
 
Eti asilimia 90, wewe lena kweli
Huo ndio ukweli kaka usikatae ukweli. Out of 10 only one anaweza kuongea au kuandika kiswahili fasaha TZ. Advantage ambayo watz wanayo over kenyans kwenye kiswahili is that they can speak very fast. Hilo tu mkuu
 
Duuh uongo wa karne huu
 
Reactions: Oii
Nyang'au mtafundisha nani kiswahili nyinyi? Labda watu wa mombasa ambao wengi hawana ukabila wanajichanganya na watu.
Bunge lenu anayeongea kiswahili kizuri Mohamed Ali pekee wa jicho pevu.
 
Attachments

  • Inst-video-17.mp4
    4.5 MB
Sasa matatizo ya wakenya kwenye kuongea na kuandika Kiswahili hayo uliyo yataja ni cha mdoll. Mfano "Jana yule manzi ali elewa njaro zangu aka come kwa keja nika mmanga, ila ali kuwa ana shuta vi deadly" sasa mtu kama huyo si bora yule anaekosea L na R! Mimi wakenya nimekaa nao na nilishawahi kufundishwa na mwalimu wa Kiswahili Mkenya na wao "mother language" zime wa affect. mwizi= mwisi, unasema= unasemanga n.k. Wabongo tulikua tuna mcheka mpaka akawa ana tumind.
 
Jina sahihi la 'county' ni gatuzi sio jimbo.
Maana ya gatuzi ni kupeleka, kuhamisha, kuteremsha madaraka, mamlaka, kwa maana ya fedha, rasilmali watu, nyenzo, technologia n.k.

Hivyo mtuachie kiswahili chetu mnakiharibu
 
Umenoa, tena kwa mbali sana. Ungesema 'county/kaunti' au gatuzi(ambalo ndio jina sahihi) ni kata ningekuelewa. Kila gatuzi lina majimbo kadhaa ndani yake.
Maana ya Gatuzi ni hii kwenye kamusi ya Kiswahili sanifu ni kupeleka, kuhamisha, kuteremsha madaraka, mamlaka, kwa maana ya fedha, rasilmali watu, nyenzo, technologia n.k.
 
Reactions: Oii
Hapa bongo,waziri wa utamaduni anatenga bajeti ya kuendeleza lugha za kikabila .
Kiuhalisia,ndo kaeneo wanajichotea hela za wanyonge.
Kuongozwa na ccm,ni km laana kwa tanzania
 
Mi mwenyewe nimesoma kule nakujua vizuri sana. Hiyo manzi ni kiswahili cha mtaania kama unavyosema demu. Kule mtihani wa darasa la nane tu kuna mtihani wa lugha na insha. Kwenye insha huwezi andika huo upuuzi you have to be very professional. Form 4 kuna fasihi na lugha. Kwenye fasihi kuna mashairi, riwaya etc nakumbuka wakati nasoma nilisoma kitabu kinaitwa kisima cha giningi na AMEZIDI. Wapo wale wa bara ambao wameathiriwa na lugha ya mama. Mfano wajaluo neno sh hawawezi kutamka, fish anasema fis. Ila kwenye kuandika wanaandika poa sana. Tatizo hapa hata kwenye kuandika pia ni issue.
 
Kama umekaa na wakenya halafu unasema wakenya wanajua Kiswahili kuliko watanzania naomba nikuache kama ulivyo. Ila kaa ukijua mwalimu wa lugha anafundisha kusoma, kuandika na kuongea.
 
Kama umekaa na wakenya halafu unasema wakenya wanajua Kiswahili kuliko watanzania naomba nikuache kama ulivyo. Ila kaa ukijua mwalimu wa lugha anafundisha kusoma, kuandika na kuongea.
Wako poa mkuu. Hapa tupo fluent tu. Sikiliza bongo fleva ni kichefuchefu. Sijui hao maproducer/mameneja wanafanya kazi gani. Hata diamond nyimbo zake anashindwa kutofautusha L na R kwenye nyimbo zake sijui kama umelijua hilo.
 
Wewe kiazi kweli lugha gani duniani imejitosheleza? Zaidi ya asilimia 60 ya maneno ya kiingeleza yamekopwa kutoka kwenye lugha nyingine
 
Reactions: Oii
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…