Mi mwenyewe nimesoma kule nakujua vizuri sana. Hiyo manzi ni kiswahili cha mtaania kama unavyosema demu. Kule mtihani wa darasa la nane tu kuna mtihani wa lugha na insha. Kwenye insha huwezi andika huo upuuzi you have to be very professional. Form 4 kuna fasihi na lugha. Kwenye fasihi kuna mashairi, riwaya etc nakumbuka wakati nasoma nilisoma kitabu kinaitwa kisima cha giningi na AMEZIDI. Wapo wale wa bara ambao wameathiriwa na lugha ya mama. Mfano wajaluo neno sh hawawezi kutamka, fish anasema fis. Ila kwenye kuandika wanaandika poa sana. Tatizo hapa hata kwenye kuandika pia ni issue.