Shule za Afrika Kusini kuanza kufunza Kiswahili baada ya kuingia makubaliano na Kenya

Mkuu rudia tena
 
Wewe hiyo asilimia 90 umeitoa wapi?
 
Reactions: Oii
Wewe kiazi kweli lugha gani duniani imejitosheleza? Zaidi ya asilimia 60 ya maneno ya kiingeleza yamekopwa kutoka kwenye lugha nyingine
Umenielewa kweli au umedandia kwa mbele bila kujua inaenda wapi.
Nilikua nampa mwenzio darasa ambaye anashangaa akiona tunabuni maneno ya Kiswahili, ambapo ni wazi kuna maneno mengi ambayo hakina na inabidi kutohoa kutoka kwenye lugha zetu za asili au Kingereza.
 
Kwa mantiki hiyo unamaanisha hata kwenye huu uzi kuna watu 9/10 wamekosea matumizi ya L na R,
what a dumb goat[emoji2][emoji2][emoji2].
 
Reactions: Oii
South Africa wamewasahau SADC mwenzao wakaja EAC kuwasajili Wakenya kufunza luhga ya Kiswahili kwao. Kudos Kenya.
 
Jina sahihi la 'county' ni gatuzi sio jimbo.
Sasa hapo ni "gatuzi la" au "gatuzi ya" maana naona mnabuni najina bila ya kufuata mtililiko wa kiswahili mfano sisi tunatililika hivi "Jimbo la ukonga"
 
Maana ya gatuzi ni kupeleka, kuhamisha, kuteremsha madaraka, mamlaka, kwa maana ya fedha, rasilmali watu, nyenzo, technologia n.k.

Hivyo mtuachie kiswahili chetu mnakiharibu
Huo ni ugatuzi, gatuzi ndio 'county'.
 
Mwambie akacheki JamiiForums.com FORUM kule ni lugha gongana sijue hata kama wao Kwa wao wanaelewana wanaongea kama walevi wa changaa
 
Mwambie akacheki ********* FORUM kule ni lugha gongana sijue hata kama wao Kwa wao wanaelewana wanaongea kama walevi wa changaa
Heeee nimeandika neno kenyatalkk forum limekataa kweli Kenya inalaana hadi jf inakataa kiberatalk forum
 
Mwambie akacheki ********* FORUM kule ni lugha gongana sijue hata kama wao Kwa wao wanaelewana wanaongea kama walevi wa changaa
njoo katika forum ya mombasa toa donge lako na hicho kiherehere cha kwamva wajuwa kiswahili au na hayo makosa yako ya kijinga..hku utakimbia..kila mtu anapiga kiswahili safi kabisa...hamna cha samani,zahabu,mara siliazi,lamani...
 
Nenda ukawafundihe sasa unatuambia sisi ili iweje??

Mkawafundishe kwamba
Masee ni nini??
Kunyora ni nini?
Mtoi ni nini??

Bando ni langu sio lazima uelewe
mkuu usisahau na "pigia nduru kwa kipepewo!"
 
njoo katika forum ya mombasa toa donge lako na hicho kiherehere cha kwamva wajuwa kiswahili au na hayo makosa yako ya kijinga..hku utakimbia..kila mtu anapiga kiswahili safi kabisa...hamna cha samani,zahabu,mara siliazi,lamani...
Forum ya Mombasa nitajie jina lake
 
Hongereni Wakenya kwa kupata dili la kufunza Kiswahili duniani. Nyinyi ni Waswahili zaidi ya Waswahili wenyewe.
 
Mkenya unajua hadi neno kutohoa? We bila shaka utakuwa umesoma tz sio bure!
 
kumbe wewe hujui kiswahili..unapiga kelele tu...nipe maana ya
STATE....
COUNTY...

Alafu hayo maelezo yako..ilikuwa unamaanisha ugatuzi..wala si gatuzi..

sasa nionyeshe aisee katika kamusi ya kiswahili..
 
kama kiswahili chenu ni kile anachoongea nkirote. Basi mmefeli
 
Ngoja mkawafundishe broken Swahili baada ya muda watagundua mmewaingiza chaka kama ambavyo mliwaingiza chaka Microsoft mpaka wakasitisha mkataba. Baada ya muda Wakenya mtajulikana kwa utapeli.
 
njoo katika forum ya mombasa toa donge lako na hicho kiherehere cha kwamva wajuwa kiswahili au na hayo makosa yako ya kijinga..hku utakimbia..kila mtu anapiga kiswahili safi kabisa...hamna cha samani,zahabu,mara siliazi,lamani...
Wajuwa [emoji777]
Wajua [emoji736]
 
Ngoja mkawafundishe broken Swahili baada ya muda watagundua mmewaingiza chaka kama ambavyo mliwaingiza chaka Microsoft mpaka wakasitisha mkataba. Baada ya muda Wakenya mtajulikana kwa utapeli.
wakenya kw kiswahili mambo mbaya...angalia tayari waandishi wa fasihi ...alafu angalia kenya..mara nyingi shule ambazo zinaongoza kiswahili kitaifa mara nyingi hazitokei pwani...kuna tofauti ya kujua kuongea kiswahili,na kufunza bro..wakenya inapokuja ishu ya kusoma kiswahili wapo makini...jamaa li bara halijui kuongea kiswahili lkn njoo kwnye mtihani anvyo wachakaza wapwani darasani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…