Shule za Afrika Kusini kuanza kufunza Kiswahili baada ya kuingia makubaliano na Kenya

njoo katika forum ya mombasa toa donge lako na hicho kiherehere cha kwamva wajuwa kiswahili au na hayo makosa yako ya kijinga..hku utakimbia..kila mtu anapiga kiswahili safi kabisa...hamna cha samani,zahabu,mara siliazi,lamani...
Bro naomba hiyo forum ya ndugu zetu wa Mombasa, hata ikiwezekana nitumie PM, huwa natamani sana kuchat nao.
 
kumbe wewe hujui kiswahili..unapiga kelele tu...nipe maana ya
STATE....
COUNTY...
Alafu hayo maelezo yako..ilikuwa unamaanisha ugatuzi..wala si gatuzi..
sasa nionyeshe aisee katika kamusi ya kiswahili..
😝😝😝😝 Tabu kwelikweli Tafuta kamusi ya kiswahili sanifu uangalie maana ya "STATE" na "COUNTY" usinichoshe
 
Federal Kama sijakosea ndio Jimbo, Kama vile Jimbo la California kule Marekani.
 
Yeah, huyu

"Wewe kiazi kweli lugha gani duniani imejitosheleza? Zaidi ya asilimia 60 ya maneno ya kiingeleza yamekopwa kutoka kwenye lugha nyingine"
Wewe hiyo asilimia 90 umeitoa wapi?
 
Ni lini mtajua kutofautisha "r" na "l" ?. Or this is how you want to go and teach someone's son and daughter in South Africa?
Sasa hapo ni "gatuzi la" au "gatuzi ya" maana naona mnabuni najina bila ya kufuata mtililiko wa kiswahili mfano sisi tunatililika hivi "Jimbo la ukonga"
 
Wajuwa [emoji777]
Wajua [emoji736]
hehee....umehaha ukaona uanze kujifanya mwalimu..mwenzako najua vizuri hicho kitu ulichonirekebisha hapo...
na hapa umefika ndugu...ukitaka tukosoane utakimbia...kw kiswahili chako cha aisee...hapa hufui dafu nakwambia baba...nakwambia sijisifu na wala sitojifu..ila kiswahili hapa utatoka nduki...kuna mawaddii kibao walijifanya wanaweza
 
Kwa majivuno tu labda na sio vinginevyo
 
Wakenya mnajitutumua munekane kiswahili chenyewe kibovu kama yai viza.
 
Wakenya mnajitutumua munekane kiswahili chenyewe kibovu kama yai viza.
Hivi kweli tukiongea kiswahili cha TUKI kile sidhani kama wataelewa hata chembe ya neno lolote [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wakenya ,waganda,wasudani, warwanda,wasomali warundi wote kapu moja kwahili hawajui.
 
Hawa si ndio wanawapotosha wageni ka kuwafundisha kiswahii cha hovyohovyo?

1. Nimeingia kwa mulango nikatokea kwa dirisha

2. Ile maneno

3. Wavijanaa

4.Mazee

5.
 
Avegadro...mazee ni sheng,mavijana ni sheng,sasa kumbe nynyi mnataka kulinganisha kiswahili na sheng..jamani nynyi watu mnatabu...ni sawa na kusema wa nigeria wanaongea broken english...na wakati wao wamebuni lugha kutoka na kingereza na lugha zao (pidgin)....jamaa mbna hamtaki kujiongeza lkn..bwahahaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…