Kuna Jamhuri sec, Bihawana seminaryHabari wananzengo
Natafuta shule zinazofanya vizuri A'level zilizopo Dodoma, zenye maadili pia, mchepuo wa HGE, ikiwa ya mchanganyiko itakua vizuri zaidi, ninaijua moja tu st.Peter claver basi, naomba mnisaidie nipate list angalau hata shule tatu nne then nione nafanyaje .
Nashukuru sana!
Kama mtoto ni wa kike. Mtafutie girls tena boardingHabari wananzengo