Shule za A'level Dodoma

Shule za A'level Dodoma

skinless

Member
Joined
Aug 16, 2023
Posts
45
Reaction score
73
Habari wananzengo
Natafuta shule zinazofanya vizuri A'level zilizopo Dodoma, zenye maadili pia, mchepuo wa HGE, ikiwa ya mchanganyiko itakua vizuri zaidi, ninaijua moja tu st.Peter claver basi, naomba mnisaidie nipate list angalau hata shule tatu nne then nione nafanyaje .

Nashukuru sana!
 
Gender ya anayetafuta

Maana kuna Huruma Girls hapo town...

Pia DCT Mvumi ni Shule nzuri sijajua kama wana HGE
 
Habari wananzengo
Natafuta shule zinazofanya vizuri A'level zilizopo Dodoma, zenye maadili pia, mchepuo wa HGE, ikiwa ya mchanganyiko itakua vizuri zaidi, ninaijua moja tu st.Peter claver basi, naomba mnisaidie nipate list angalau hata shule tatu nne then nione nafanyaje .

Nashukuru sana!
Kuna Jamhuri sec, Bihawana seminary
 
Habari wananzengo
Natafuta shule zinazofanya vizuri A'level zilizopo Dodoma, zenye maadili pia, mchepuo wa HGE, ikiwa ya mchanganyiko itakua vizuri zaidi, ninaijua moja tu st.Peter claver basi, naomba mnisaidie nipate list angalau hata shule tatu nne then nione nafanyaje .

Nashukuru sana!
Kama mtoto ni wa kike. Mtafutie girls tena boarding

Umri wa mtoto wa kike kuingia A level ni umri hatarishi shule za mchanganyiko au day

Vizuri aende bweni tena ya girls tupu

Hata akiwa wa Kiume aende bweni ya boys tupu

Hizo za mchanganyiko za day hawafanyi vizuri sana
 
Back
Top Bottom