Nitshukuru sana.Kesho panapomajaaliwa nitaulizia, nitakujibu mkuu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nitshukuru sana.Kesho panapomajaaliwa nitaulizia, nitakujibu mkuu.
Arusha ipo kitambo sanaNi kweli hizi shule hazipo mikoani.. So wajaribu kweka huku mikoani japo 1 @Region
Azimio, karibu na stand kuuMbeya mjini ziko 3 au 4 hvi kam sikosei
Magufuri
Umoja
Mkapa
.........
Tanga mjini ziko mbili mwaka huu imeanza mpya ya tatu. Ada zinalipwa ila ni affordableKwa wenye kumbukumbu nzuri, mtakumbuka kipindi Rais akitanganza azimio la kuondoa ada kwa shule za msingi za umma. Rais alitaja shule sita kuwa shule hizi zitaendelea na utaratibu wa ada na kati ya shule zilizotajwa ni Bunge(Dar), Mlimani (Dar) na Olimpio (Dar).
Kwa utafiti wangu mdogo niligundua kuwa shule hizi wanafunzi wake wanajifunza (medium of instruction) kwa kutumia lugha ya Kingereza, yaani English medium.
Hoja yangu...
Kwanini serikali isianzishe shule za namna hii atleast shule 50 kila mkoa?
Mchakato wa kupata wanafunzi wa shule hizi ukoje, kwani niligundua kuna watoto wanatoka Madale kwenda Upanga, je mchakato ni wa wazi?
Ni watoto wa Watanzania wenye hadhi hudailiwaa pale na kiwango cha ada kikoje?
Naomba kuwasilisha.