Shule za michepuo ya Elimu ya Ufundi zilizoboreshwa zimeongezeka kutoka shule 9 mwaka 2020 kufikia shule 27 mwaka 2024

Ojuolegbha

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2020
Posts
1,278
Reaction score
797
Shule za michepuo ya Elimu ya Ufundi zilizoboreshwa zimeongezeka kutoka shule 9 mwaka 2020 kufikia shule 27 mwaka 2024.

Hii ni katika kuhakikisha elimu ya ufundi inafundishwa katika hatua za mwanzo za mwanafunzi akiwa shuleni.

Pakua Samia App kupitia Play Store au App Store.
IMG-20250218-WA0086.jpg

#samiaapp
#kaziiendelee
#tumejipatanamama
 
Ebu tutajie majina ya hizo shule za ufundi mlizo boresha, achana na hizo mambo za pakua apps za sijui naninani huyo...☹️
 
Shule za michepuo ya Elimu ya Ufundi zilizoboreshwa zimeongezeka kutoka shule 9 mwaka 2020 kufikia shule 27 mwaka 2024.

Hii ni katika kuhakikisha elimu ya ufundi inafundishwa katika hatua za mwanzo za mwanafunzi akiwa shuleni.

Pakua Samia App kupitia Play Store au App Store.
View attachment 3240489
#samiaapp
#kaziiendelee
#tumejipatanamama
Samiaapp inahusikaje na ongezeko la shule za ufundi? Ufafanuzi samahani.
 
Back
Top Bottom