Shule za mjini vs shule za vijijini zipi zinapitia changamoto nyingi?

Shule za mjini vs shule za vijijini zipi zinapitia changamoto nyingi?

The Lastdream

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2024
Posts
1,970
Reaction score
4,616
Wanajamvi kwema

Moja kwa moja niende kwa mada.
Kuna sehemu nimeona hii mada inasema hivi
“Kati ya shule za mjini na shule za vijijini ni wapi wanafunzi wanapitia changamoto nyingi sana”

Toa maoni yako na sababu.
 
Wa vijijini anaenda shule njaa anafundishwa na mwalimu mwenye msongo huku akiwakimbia kausha damu ambao baadhi yao ni wafanyakazi wa benki hapo hamna kitu anapata.
 
Back
Top Bottom