Moja kwa moja niende kwa mada.
Kuna sehemu nimeona hii mada inasema hivi “Kati ya shule za mjini na shule za vijijini ni wapi wanafunzi wanapitia changamoto nyingi sana”
Moja kwa moja niende kwa mada.
Kuna sehemu nimeona hii mada inasema hivi “Kati ya shule za mjini na shule za vijijini ni wapi wanafunzi wanapitia changamoto nyingi sana”
Wa vijijini anaenda shule njaa anafundishwa na mwalimu mwenye msongo huku akiwakimbia kausha damu ambao baadhi yao ni wafanyakazi wa benki hapo hamna kitu anapata.