Shule za msingi kanda ya Ziwa zaibuka kidedea wa udanganyifu wa mitihani. Mwanza na Bukoba waongoza

fazili

JF-Expert Member
Joined
Jun 10, 2011
Posts
16,427
Reaction score
22,418
Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA) limevifungia vituo vya mitihani 24 sawa na asilimia 0.13 ya vituo vyote 17,935 vilivyofanya mtihani ambavyo vimethibitika kupanga na kufanya udanganyifu katika mtihani wa kumaliza elimu ya msingi 2022.

Vituo hivi vimefungiwa hadi Baraza litakapojiridhisha kuwa ni salama kwa uendeshji wa mitihani, vituo hivi ni Kadama Primary (Chato), Rweikiza Primary (Bukoba), Kilimanjaro Primary (Arusha), Sahare Primary (Tanga), St.Anne Marie Primary (Ubungo, Dar es salaam) ,

Vituo vingine vilivyofungiwa ni Ukerewe Primary (Mwanza), Peaceland (Ukerewe), Karume Primary (Bukoba) , Al Hikma Primary (Dar es salaam) Kazoba Primary (Karagwe), Mugini Primary (Magu Mwanza), Busara (Magu, Mwanza), Jamia Primary (Bukoba) Winners Primary (Mwanza), Musabe Primary (Mwanza ),

Vituo vingine vilivyofungiwa ni Elisabene Primary (Tunduma), High Challenge Primary (Arusha), Tumaini Primary (Sengerema Mwanza), Holele Primary (Mwanza) Must Lead Primary (Chalinze) Moregas Primary (Tarime) Leaders Primary (Rorya), Kivulini Primary ( Mwanza) , St Severin Primary (Biharamulo).
#MillardAyoUPDATES
 
Watoto wanaendelea sekondari au wanarudia pepa ??
 
shule zilizopo bukoba na kahama kama unataka mtoto hapasue ni hapo.
ukisikia mpira pesa basi shule pesa
 
Hizo shule zinatakiwa zipelekwe mahakani kwa kuwatia hasara wazazi kwa miaka saba
 
NECTA wakitaka kufanya utafiti kuhusu udanganyifu, shule nyingi hudanganya, si za serikali wala binafsi
 
Wengine hwajakamatwa hapo zilikuwa za kaskazini miaka hyo kuvuja mitihani lazima huko ila sasa wametulia.
 
Katika hili nawapongeza sana Necta, wembe uwe huo huo kwa sekondari pia.
 
Wasukuma wana akili mno yani mno acha kabisa
 
Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA) limevifungia vituo vya mitihani 24 sawa na asilimia 0.13 ya vituo vyote 17,935 vilivyofanya mtihani ambavyo vimethibitika kupanga na kufanya udanganyifu katika mtihani wa kumaliza elimu ya msingi 2022.

Vituo hivi vimefungiwa hadi Baraza litakapojiridhisha kuwa ni salama kwa uendeshji wa mitihani, vituo hivi ni Kadama Primary (Chato), Rweikiza Primary (Bukoba), Kilimanjaro Primary (Arusha), Sahare Primary (Tanga), St.Anne Marie Primary (Ubungo, Dar es salaam) ,

Vituo vingine vilivyofungiwa ni Ukerewe Primary (Mwanza), Peaceland (Ukerewe), Karume Primary (Bukoba) , Al Hikma Primary (Dar es salaam) Kazoba Primary (Karagwe), Mugini Primary (Magu Mwanza), Busara (Magu, Mwanza), Jamia Primary (Bukoba) Winners Primary (Mwanza), Musabe Primary (Mwanza ),

Vituo vingine vilivyofungiwa ni Elisabene Primary (Tunduma), High Challenge Primary (Arusha), Tumaini Primary (Sengerema Mwanza), Holele Primary (Mwanza) Must Lead Primary (Chalinze) Moregas Primary (Tarime) Leaders Primary (Rorya), Kivulini Primary ( Mwanza) , St Severin Primary (Biharamulo).
#MillardAyoUPDATES
Shule nyingi zinamilikiwa na wanasiasa wa CCM, mfano ile ya Rweikiza inayomilikiwa na mbunge wa Bukoba vijijini Jasson Rweikiza ambaye pia ni katibu wa wabunge wa CCM. Rushwa ni sawa na ulaji wa nyama ya mtu, ukionja huachi
 
Kuna shule inaitwa Heagton English medium,iko Sirari(Tarime) nadhani ndiyo imeongoza kitaifa. Maana INA wastani wa 296 out of 300.
hongera kwao.
 
Kipindi cha mwendazake kulikuwa na juhudi za makusudi kuwafaulisha makusudi. Mungu hachezewi lakini.
 
Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA) limevifungia vituo vya mitihani 24 sawa na asilimia 0.13 ya vituo vyote 17,935 vilivyofanya mtihani ambavyo vimethibitika kupanga na kufanya udanganyifu katika mtihani wa kumaliza elimu ya msingi 2022.

Vituo hivi vimefungiwa hadi Baraza litakapojiridhisha kuwa ni salama kwa uendeshji wa mitihani, vituo hivi ni Kadama Primary (Chato), Rweikiza Primary (Bukoba), Kilimanjaro Primary (Arusha), Sahare Primary (Tanga), St.Anne Marie Primary (Ubungo, Dar es salaam) ,

Vituo vingine vilivyofungiwa ni Ukerewe Primary (Mwanza), Peaceland (Ukerewe), Karume Primary (Bukoba) , Al Hikma Primary (Dar es salaam) Kazoba Primary (Karagwe), Mugini Primary (Magu Mwanza), Busara (Magu, Mwanza), Jamia Primary (Bukoba) Winners Primary (Mwanza), Musabe Primary (Mwanza ),

Vituo vingine vilivyofungiwa ni Elisabene Primary (Tunduma), High Challenge Primary (Arusha), Tumaini Primary (Sengerema Mwanza), Holele Primary (Mwanza) Must Lead Primary (Chalinze) Moregas Primary (Tarime) Leaders Primary (Rorya), Kivulini Primary ( Mwanza) , St Severin Primary (Biharamulo).
#MillardAyoUPDATES
Kuondokana na kadhia hii ya udanganyifu kitaaluma, tuondokane na ibada za kushinda. Tutoe elimu inayompa maarfia badala ya uwezo wa kukariri na kudanganya. Wenzetu wa nchi za magharibi walishaachana na mtindo huu wa kikoloni na kijima.
 
Vituo hivi vimefungiwa hadi Baraza litakapojiridhisha kuwa ni salama kwa uendeshji wa mitihani, vituo hivi ni Kadama Primary (Chato), Rweikiza Primary (Bukoba), Kilimanjaro Primary (Arusha), Sahare Primary (Tanga), St.Anne Marie Primary (Ubungo, Dar es salaam) ,

Vituo vingine vilivyofungiwa ni Ukerewe Primary (Mwanza), Peaceland (Ukerewe), Karume Primary (Bukoba) , Al Hikma Primary (Dar es salaam) Kazoba Primary (Karagwe), Mugini Primary (Magu Mwanza), Busara (Magu, Mwanza), Jamia Primary (Bukoba) Winners Primary (Mwanza), Musabe Primary (Mwanza ),

Vituo vingine vilivyofungiwa ni Elisabene Primary (Tunduma), High Challenge Primary (Arusha), Tumaini Primary (Sengerema Mwanza), Holele Primary (Mwanza) Must Lead Primary (Chalinze) Moregas Primary (Tarime) Leaders Primary (Rorya), Kivulini Primary ( Mwanza) , St Severin Primary (Biharamulo).
Matokeo yake mwisho wa siku
Madaktari feki
Mainjinia feki
Viongozi feki
Walimu, wahadhiri feki
Wazazi na walezi feki
Wakulima, wafanyabiashara na wawekezaji feki
Taifa feki
 
Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA) limevifungia vituo vya mitihani 24 sawa na asilimia 0.13 ya vituo vyote 17,935 vilivyofanya mtihani ambavyo vimethibitika kupanga na kufanya udanganyifu katika mtihani wa kumaliza elimu ya msingi 2022.

Vituo hivi vimefungiwa hadi Baraza litakapojiridhisha kuwa ni salama kwa uendeshji wa mitihani, vituo hivi ni Kadama Primary (Chato), Rweikiza Primary (Bukoba), Kilimanjaro Primary (Arusha), Sahare Primary (Tanga), St.Anne Marie Primary (Ubungo, Dar es salaam) ,

Vituo vingine vilivyofungiwa ni Ukerewe Primary (Mwanza), Peaceland (Ukerewe), Karume Primary (Bukoba) , Al Hikma Primary (Dar es salaam) Kazoba Primary (Karagwe), Mugini Primary (Magu Mwanza), Busara (Magu, Mwanza), Jamia Primary (Bukoba) Winners Primary (Mwanza), Musabe Primary (Mwanza ),

Vituo vingine vilivyofungiwa ni Elisabene Primary (Tunduma), High Challenge Primary (Arusha), Tumaini Primary (Sengerema Mwanza), Holele Primary (Mwanza) Must Lead Primary (Chalinze) Moregas Primary (Tarime) Leaders Primary (Rorya), Kivulini Primary ( Mwanza) , St Severin Primary (Biharamulo).
#MillardAyoUPDATES
Hawakuanza leo. Yule aliyeiba thesis ya mtu, akaihariri kidogo na kupata PhD si ndio kwao huko?
 
Shule nyingi zinamilikiwa na wanasiasa wa CCM, mfano ile ya Rweikiza inayomilikiwa na mbunge wa Bukoba vijijini Jasson Rweikiza ambaye pia ni katibu wa wabunge wa CCM. Rushwa ni sawa na ulaji wa nyama ya mtu, ukionja huachi
Na hiyo St. Anne Marie ya Ubungo, Dar ni yake pia na zote zimefungiwa! CCM ni nyumbani kwa rushwa!
 
Back
Top Bottom