LOTH HEMA
JF-Expert Member
- Dec 6, 2015
- 18,611
- 27,615
we mwenyewe nasoma naona unapuyanga tu hukutoa conclussion. Hizo shule ndio nyingi kulinganisha na hizo zako. Hizo shule zako ni mpya ndio maana unaziona ni bora kwa vigezo vyako, why unakuwa radical criticised na shule za umma ambazo ndio nyingi?Bado comments zako ni za kupuyanga. Soma tena uzi wangu