Shule za nyingi za Kata Msingi na Sekondari zina shida kubwa

Bado comments zako ni za kupuyanga. Soma tena uzi wangu
we mwenyewe nasoma naona unapuyanga tu hukutoa conclussion. Hizo shule ndio nyingi kulinganisha na hizo zako. Hizo shule zako ni mpya ndio maana unaziona ni bora kwa vigezo vyako, why unakuwa radical criticised na shule za umma ambazo ndio nyingi?
 
Haya naona hautuelewani
 
Hizo sio shule bali ni vituo vya kufanyia mitihani.
 
We ushauri wako ni upi? Siku hizi Walimu shule wanazofundisha watoto wao hawasomi hapo what do you expect? Hata mtoto wa diwani humkuti st kayumba
Jaribu ku comprehend mambo, hakuna namna kila kitu kinaweza kuwa at par. Never on the earth, so does the heavens.
 
Advance hasa special school wengi wanatoka private, wala sio uongo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…