kasumbiresa
Member
- May 25, 2023
- 18
- 4
Shule zilizipo tabora wilaya Uyui Zina shida kubwa sanaya kiongozi kutokana walipoewa uongozi kutokuwajibika jinsi inavyotakiwa, Kuna shule za upande wa uelekeo wa ulyankuru Kuna shida kubwa sana kitaaluma na za kiongozi Kuna wakuu wa shule wapya wanawake wamehongwa nafasi za ukuuu wa shule, wamebakia kuleta majungu kazini, Kila siku kesi kusuluisha, serikali iondoe watu Hawa kwani ndio wanaorudisha taaaluma nyuma, mfano Kunaujenzi wa maabara ulitokea watu walitaka kumalizana full majungu, sijawahi kupna wakuuu wa shule hawajiwezi kwa lolote kama hao, wanabebwa na mabwana wao walioko halmashauri.
Kuna sekondari kama 3 ziko uelekeo wa ulyankuru ni hatari Kila siku ni kesi majungu umbea ndio vimetawala ofisini
Kuna sekondari kama 3 ziko uelekeo wa ulyankuru ni hatari Kila siku ni kesi majungu umbea ndio vimetawala ofisini